03/07/2022
Yanga Sc wamekamilisha usajili wa Winga Bernard Morrison 🇬🇭 k**a mchezaji huru baada ya kumalizana na timu yake ya zamani Simba Sc https:
michezo online inakupa Habari za michezo kutoka kila kona ya dunia, makala kuhusu soka Tembelea hapa
03/07/2022
Yanga Sc wamekamilisha usajili wa Winga Bernard Morrison 🇬🇭 k**a mchezaji huru baada ya kumalizana na timu yake ya zamani Simba Sc https:
30/06/2022
Senzo: Tuna ofa mbili za Mayele
Ofisa Mtendaji mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa amesema klabu imepokea ofa mbili kwa nyota wao, Fiston Mayele.
Amesema Kaizer Chief na Berkane zimeonyesha kumtaka nyota huyo wa kupachika mabao Yanga.
"Lakini k**a klabu hatumuuzi," amesema Senzo.
30/06/2022
"Miamba ya Afrika Kusini Kaizer Chiefs wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele kwa mkataba wa miaka 3, tangazo litatolewa karibuni. Mayele alikuwa mfungaji bora 2 kwenye Ligi Kuu ya Tanzania akiwa na mabao 16"- Mwandishi Nuhu Adams
29/06/2022
🚨 DEAL DONE| Augustine Okrah ataichezea Simba msimu ujao (2022/23) kwa kandarasi ya miaka 2.
28/06/2022
MALENGO ALIYOPEWA KOCHA ZORAN MAKI
🚨 Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa
🚨 Kurejesha ubingwa wa Ligi Kuu
🚨 Kuchukua Kombe la Shirikisho la Azam.
28/06/2022
🇵🇹 | ZORAN MAKI KOCHA MPYA SIMBA SC 🦁
Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Zoran Manojlovic (Zoran Maki) raia wa Ureno kuwa ndiye kocha wao mkuu kuanzia sasa kwa mkataba wa mwaka mmoja.
28/06/2022
Ukiishiwa bando zama hizi sijui unaishije maana ni kumechangamka..Sio nyumbani Si kwa jirani ni heka heka tu....
27/06/2022
🚨KOCHA WA MAKIPA SIMBA AOMBA KUONDOKA
Uongozi wa klabu ya Simba umethibitsha Kocha wa makipa, Tyron Damons anatarajia kuondoka baada ya kukamilika kwa msimu.
Tyron amepata kazi katika klabu ya Orlando Pirates ya nchini kwao Afrika Kusini 🇿🇦 na tayari amewasilisha ombi la kutaka kuondoka ili kujiunga na miamba hiyo.
24/06/2022
NABI: CHICO NATAKA ABAKI
🗣 “Nitaongea na viongozi, natamani kuendelea kufanya kazi pamoja na Chico hapa Yanga kwani ni mmoja wa wachezaji wazuri na wenye uzoefu ambaye akitumika zaidi atakuwa na msaada katika mashindano ya ndani pamoja na yale ya kimataiafa”
23/06/2022
Kiungo wa zamani wa Yanga Sc 🇹🇿 Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu k**a Carlinhos amejiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Angola 🇦🇴 Petro de Luanda.
23/06/2022
Tumeshampata kocha na tutamtangaza soon,kuna maeneo ameshauri tuongeze kwenye usajili mpaka sasa ni asilimia 50%za usajili tumekamilisha na tutasajili wachezaji zaid ya watano " Babra Gonzalez
23/06/2022
Aziz ki hatukumhitaji ,Kwa Adebayor tulisema lakini Kwa Aziz ki tulimsifia tu,juzi nimeona mara sopu,mara kiyombo,mara mchezaji anaitwa Sylla wa horoya , ni propaganda Tu watu wasubiri taarifa rasmi" Barbara Gonzalez