Huyu Ndiyo Beca tunayemjua. Yupo K**a Uyoga Leo mboga kesho Sumu.
HK Viwanjani
KARIBU UJIPATIE BIDHAA INAYOENDANA NA PESA YAKO ELECTRONICS DEVICES ZOTE KWA BEI NAFUU SANA Whatsapp 📞0625540370
Kawaida 📞0625540370
Habarika kispoti kwa kupata habari za michezo ulimwenguni
13/05/2026
Chama Baba Chama. Triple C.
10/05/2026
FC Barcelona imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uhispania (Laliga) kwa mara ya pili mfululizo kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu wao wakubwa, Real Madrid kwenye mchezo wa El Clasico katika dimba la Nou Camp.
Barca imetwaa ubingwa huo kwa mara ya 29 kihistoria kwa namna ya kipekee kwani imetwaa ubingwa huo baada ya kuwafunga mahasimu wao hao na ni kwa mara ya kwanza bingwa wa Laliga amepatikana kwenye mchezo wa El Clasico.
FT: Barcelona 2-0 Real Madrid
⚽ 09' Rashford
⚽ 18' Torres
10/05/2026
Kumbe siyo kila timu ina uwezo wa kuchomoa bao mbili endapo ikitanguliwa 2-0 za mapema….!!!
90’: Barcelona 2-0 Real Madrid
10/05/2026
Klabu ya Pyramids imetwaa ubingwa wa Kombe la Misri (FA Cup) kwa mara ya pili kihistoria kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya ZED FC kwenye fainali huku Fiston Kalala Mayele akifunga bao la pili kwenye mchezo huo.
FT: ZED FC 1-2 Pyramids
⚽ 90+2' Rafaat Khalil
⚽ 44+1' Karim Hafez (P)
⚽ 57' Mayele
0625540370 karibu Dukani kwetu K/koo
10/05/2026
2026 FIFA World Cup linatarajiwa kuwa mashindano makubwa zaidi kuwahi kufanyika katika historia ya soka duniani.
Michuano hiyo itahusisha jumla ya timu 48, mechi 104 pamoja na viwanja 16 vilivyopo katika mataifa matatu—United States, Canada na Mexico.
Miongoni mwa viwanja vitakavyotumika ni Estadio Azteca jijini Mexico City, ambako mchezo wa ufunguzi unatarajiwa kufanyika.
Pia kutakuwepo viwanja vikubwa vya NFL k**a AT&T Stadium huko Dallas chenye uwezo wa takriban mashabiki 94,000.
Fainali ya michuano hiyo itapigwa katika MetLife Stadium karibu na New York City, uwanja wenye uwezo wa zaidi ya watazamaji 82,000 na uzoefu mkubwa wa kuandaa matukio ya kimataifa.
Kwa mujibu wa maandalizi, baadhi ya viwanja vitafanyiwa maboresho maalum kwa ajili ya soka, ikiwemo uwekaji wa nyasi asilia pamoja na marekebisho ya maeneo ya viti.
10/05/2026
Siku ya Mama Duniani na taarifa njema ya Simba mtoto kuwa njiani 🤩
10/05/2026
Arsenal Mtaka yote,
Hii ndiyo sababu goli la West Ham lilikataliwa ❌
Je, ilikuwa faulo dhidi ya David Raya?
10/05/2026
Real Madrid huu mwaka ni wanjaa sana kwao....
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Ferry
Kigamboni