23/08/2022
Beki kisiki πππ
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Football online, Sports, Kigamboni.
Huu ni ukurasa unahusika kutoa habari za michezo, mijadala ya kimichezo pamoja na maswali ya kimichezo, like ukurasa ili uwe mmoja wa wana familia wa football Online
23/08/2022
Beki kisiki πππ
22/08/2022
πππ
22/08/2022
ππ Tanzania
04/05/2022
Hawa ndio wachezaji wanaotajwa zaidi kuingia kwenye kikosi cha Kwenye dirisha kubwa la usajili
Huku .phiri Pamoja na wakitajwa kwa asilimia 90, kujiunga na klabu hiyo
To follow instragram
15/03/2022
kikosi cha Taifa Stars kitakacho jiandaa na mechi za kirafiki.
13/03/2022
Simba sc Vs Berkane
Mambo niliyo yaona kwenye mchezo wa leo,
1. Kocha wa simba sc Pablo franco , miongoni mwa vitu kocha wa simba sc alivyofaulu hii leo ni kujua ubora na udhaifu wa Berkane, kwani Berkane wapo bora sana kwenye mipira ya kutengwa pamoja na mipira ya juu, kocha wa simba sc aliingia na mfumo wa kukabia juu na kuziba mianya yote ya pasi na kupelekea berkane kubutua tu mipira mbele na kukosa option ya kutoa pasi kwa yeyote yule
2. Sakho, utulivu wa hali ya juu kwenye boksi la timu pinzani , uchaguzi mzuri wa sehemu ya kupiga mpira , sioni akiendelea kubaki ligi ya Tanzania kwa miaka 2 zaidi
2. Mohammed Hussen , utulivu speed na umakini wa hali ya juu umemfanya hawe imara na kuzuia mbinu Za winga wa kulia wa berkane kisinda , na kumtoa kwenye mchezo kipnd cha kwanza tu
Yote kwa yote Inonga ni bonge la beki π
31/01/2022
Una mkubali kwa asilimia ngapi?
Goli la Msuva dhidi ya Benin
Like&share ukurasa wetu
28/08/2021
Cristiano Ronaldo ni mchezaji wa Manchester United.
24/08/2021
Haji Manara
Rasmi ni mwananchiπͺ
Upi mtazamo wako?
23/08/2021
Wafungaji wa muda wote katika ligi ya mabingwa ulaya UEFA
Cristiano Ronaldo 134
Messi 120