Sunuka TV

Sunuka TV

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sunuka TV, Sports, KING'AZI "B"/MSIGANI/UBUNGO, Kigoma.

Football updates| Transfer News|Match highlights| Player updates| Betting tips|
๐Ÿ”ฅToday's Best Odds & Predictions
๐Ÿ’ฐSmart Betting Starsts Here
๐Ÿ“ˆDaily winning tips
Click here ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://sunukatv.online

02/06/2026

TETESI: PACOME >>>> ESPERANCE
๐Ÿ—ฃ๏ธ Yan Sasse anaondoka Esperance Sportive de Tunis baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa takribani miaka mitatu.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Miongoni mwa nyota wanaotolewa jicho kuziba nafasi ya Mbrazil huyo ni Proffesa wa boli " Pacome Zouzoua" anayekipiga mitaa ya twiga na Jangwani.

NB: Wananchi mpo tayari kuanza safari mpya bila Pacome.....๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€?

02/06/2026

AMEANDIKA ALIKAMWE

๐Ÿ—ฃ๏ธ โ€œBasi kumbe Used Limefika kwa siri kubwa sana na moja kwa moja Limepitiliza Service kudadeki..๐Ÿ˜‹โ€

๐Ÿ—ฃ๏ธ Taarifa za kuaminika zinasema Basi hili Limetolewa kwenye Kiwanda kimoja cha Samaki huko Ulaya, hivyo kuna kazi ya kubadili Tairi na kuliosha Harufu ya Shombo iondokeโ€. Alikamwe, Afisa Habari Yanga sc.

NB: Nini maoni yako......๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”?

02/06/2026

BREAKING: IBENGE KUSALIA AZAM FC
๐Ÿ—ฃ๏ธ Kocha Florent Ibenge amekataa kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Mali licha ya hapo awali kutuma CV zake na kushinda kinyang'anyiro hicho.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Moja ya sababu iliyotajwa kupelekea Ibenge kukataa kibarua hicho ni sababu za kifamilia. Mali wameanza mchalato wa kutafuta kocha mwingine.

NB: Ole wenu wananchi, Ibenge bado yupo....๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

02/06/2026

MAKOMBE 10 GHALI ZAIDI DUNIANI
Kulingana na tathmini kamili zinaonyesha mchanganyiko wa gharama za nyenzo na heshima ya kihistoria ya mashindano yanayohusiana, viwango vya mataji ya thamani zaidi ya kandanda ulimwenguni ni k**a ifuatavyo:

1. Kombe la Dunia( WORLD CUP)
Hili ndio kombe ghali zaidi Duniani likiwa na thamani ya dola za kimarekani $20M

2. Copa Libertadores Trophy.
Hili ni kombe la mabingwa bara la Amerka. Thamani yake ni dola za kimarekani $ 8.5M

3. KOMBE LA EUROPA( UEFA EUROPA LEAGUE TROPHY)
Kombe hili lina thamani ya dola za kimarekani $4.5M

4. Kombe la FA ENGLAND
Kombe hili lina thamani ya dola za kimarekani $ 1.18M

5. Ballon d'Or
Hii ni tuzo ya mchezaji bora Duniani. Tuzo hii ina thamani ya $ 805,439

6. Kombe la ligi hispania( Laliga Trophy)
Kombe hili lina thamani ya $ 600,000

7. UEFA SUPER CUP
Hili ni kombe analochukua bingwa kati ya mshindi wa UEFA CL vs UEFA EL. Lina thamani ya $ 470,000

8. AFCON( Kombe la mataifa ya Africa)
Hili ni kombe la bingwa wa Africa ngazi ya Taifa. Lina thamani ya $ 150,000

9. SERIE A
Hili ni kombe analochukua bingwa wa Italia. Lina thamani ya $ 66,000

10. Kombe la bundesliga Ujerumani ( Germany Bundesliga Trophy)
Hili ni kombe analochukua bingwa wa Ujerumani. Lina thamani ya $ 57,102

NB: Kombe lipi unalipenda na hujaliona hapo......๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€?

01/06/2026
01/06/2026

YANGA HAINA DENI FIFA

๐Ÿ—ฃ๏ธ Klabu ya Yanga sasa iko huru kuweza kufanya usajili wa kushiriki mashindano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya uongozi wa klabu kuthibitisha kuwa kuna baadhi ya taarifa ndizo zilikosekana ambazo CAF na FIFA walizihitaji.

๐Ÿ—ฃ๏ธMwenyekiti wa k**ati ya mashindano ya Yanga, Rogers Gumbo amesema jana Mei 31, 2026 ndio ilikuwa kipindi cha mwisho cha siku za ziada kwa klabu zinazodaiwa kulipa.

๐Ÿ—ฃ๏ธKupitia website ya Fifa kuhusu klabu zilizofungiwa klabu ya Yanga ilitajwa kufungiwa tangu Mei 3 na jina la klabu likitokea ukurasa wa 231.

๐Ÿ—ฃ๏ธKwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la soka barani Afrika CAF kanuni ya 59-63 kuhusu leseni za klabu zinaeleza hatari ya klabu ambazo zinadaiwa kuwa kwenye hatari ya kuzuiliwa kushiriki mashindano ya Kimataifa.

01/06/2026

WANANCHI MPOOOO....?
๐Ÿ—ฃ๏ธ Hizi ndo mechi za mwisho zilizobaki kwa upande wa Yanga msimu huu ili kumaliza ligi. Yanga wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama mbili dhidi ya mpinzani wao Simba mwenye ukame wa makombe ya ligi kwa misimu minne mfululizo.

NB: Unaziona dalili za Yanga kutetea ubingwa wao......๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€?

01/06/2026

USAJILI: DANILO >>>>>> YANGA
๐Ÿ—ฃ๏ธ TETESI: Klabu ya Yanga sc inaangalia uwezekano wa kupata saini ya Mtanzania, Miano Danilo(22) kutoka Panevฤ“zys ya nchini Lithuania.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Danilo anauwezo wa kucheza k**a beki wa pembeni au beki wa kati.

01/06/2026

TAARIFA ZA USAJILI: NADO >>>> YANGA
๐Ÿ—ฃ๏ธ TETESI: Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Azam FC Idd Nado k**a mchezaji huru baada ya mkataba wake na mabosi wa chamazi kutamatika.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Nado amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi.

NB: Ni tetesi kwasababu klabu haijathibitishaโœ๏ธโœ๏ธ

30/05/2026

TAARIFA ZA USAJILI
๐Ÿ—ฃ๏ธ Wawakilishi wa Fiston Mayele wapo tayari kupokea ofa kutoka klabu ya Al Ahly licha ya kuwa kipaumbele chao cha kwanza ni kupata mshambuliji mwenye umri mdogo.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Mayele anaondoka Pyeamids akiwa na takwimu zifuatazo;
๐ŸŸ๏ธ 125 matches
โšฝ๏ธ 54 goals
๐ŸŽฏ 9 assists

๐Ÿ† Mataji
โ€ข Egypt Cup
โ€ข Club Player of the Year (2025)
โ€ข Mfungaji bora wa FIFA Intercontinental Cup (2025)

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kigoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

https://sunukatv.online/, https://www.youtube.com/@sunukatv98, https://www.threa

Address


KING'AZI "B"/MSIGANI/UBUNGO
Kigoma
55068