24/10/2023
Master KI π
FOOTBALL PUNDIT
24/10/2023
Master KI π
11/09/2022
Linakuja Suala la Kuusoma Mchezo Nabi atabaki kuwa master , Mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba alitoka nyuma , Mchezo dhidi ya Polisi alitoka nyuma , mchezo dhidi ya Azam alitoka nyuma akapata angalau alama 1, K**a umepanga kumbeat Nabi malizana nae kipindi cha kwanza .
π khalid Chukuchuku
10/09/2022
Simba hivi karibuni wameanzisha utaratibu mzuri kimataifa ugenin
πPlateau United 0-1 Simba
πAs Vita 0-1 Simba
πMbabane 0-4 Simba
πJwaneng 0-2 Simba
πBig Bullets 0-2 Simba
Halafu kote wanapiga cleansheets
ππΌπ³π³ π»π°π΄π¬
Ismaily SC 1-1 Simba SC
Augustine Okrah.
Kikosi cha Simba SC Tanzania kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Ismaily ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Misri na mchezo kuisha kwa sare.
βͺ Al Ahly SC watacheza Ligi ya Mabingwa Afrika.
βͺ EFA iliwasilisha Zamalek na Al Ahly k**a wawakilishi wa CAF Champions League.
βͺ Pyramids FC na Future FC kwa Kombe la Shirikisho la CAF.
ππππ¨π€ππ¨ π²π πππ§π
Full π‘ Pyramids 2 - 0 Al Ahly
29' π‘ Fakhreddine Ben Youssef β½
65' π‘ Eric Traore β½
Al Ahly πͺπ¬ hatarini kuukosa ubingwa π
1. π± 25 β½ 19 π
ΏοΈ 57 = Zamalek πΉ
2. π± 25 β½ 23 π
ΏοΈ 53 = Pyramids π‘οΈ
3. π± 23 β½ 28 π
ΏοΈ 48 = Al Ahly π¦
NB ; Wakiukosa ubingwa wa ligi kuu msimu huu, itakuwa ni mara ya pili mfululizo !
Key π
π± - Games
β½ - Goals deferences
π
ΏοΈ - Points
An agreement is in place for the transfer of Lisandro Martinez π΄π¦π·
>>> Lisandro Martinez is red π΄β
π¨ EXCL: Mkataba wa Cesar Manzoki na klabu yake ya Vipers United ya Uganda πΊπ¬ unamalizika Oktoba 2022.
Manzoki na wawakilishi wake waliomba kulipia sehemu ya mkataba uliobaki, lakini klabu yake ya Vipers United imetia ngumu kukaa mezani. Manzoki ambaye amesaini mkataba wa awali na Simba SC ameamua kupeleka suala hilo FIFA anasubiria uamuzi.
24/06/2022
SIMBA YAKAMLISHA DILI LA MWENDWA KUTOKA KABWE WARRIORS
24/06/2022
ASANTE WAWA
24/06/2022
22/06/2022
NI SUALA LA MUDA CESAR MANZOKI KUA MWEKUNDU
22/06/2022
FEISAL AUZWI CHINI YA 1B
klabu ya yanga imekiri kupokea hofa nyingi kutoka ndani na nje ya bara la afrika wakimuulizia mchezaji wao feisal lakini kupotia msemaji wao haji manara klabu iyo imesema haipo tayari kumuuza mchezaji huyo kwa kiasi chini ya bilioni moja