Bembe Games

Bembe Games

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bembe Games, Kigoma.

26/01/2026

Game la Tanzania Fts 2026 nbc v2

゚viralシ

25/01/2026

Tazama Fts 2026 NBC MOD V2 by bembe

゚viralシ

10/01/2026

07/01/2026

02/01/2026

Heri ya mwaka mpya✅️

Asante sana kwa support yako ya kipindi hichi tulicho maliza

Naamini tutakua na michezo mingine bora katika Channel hii

Endelea Kuwa nasi katika Jamii hii ya michezo

Asante.

17/09/2025

Hivi Karibuni tutaweza kuleta Mchezo mpya Wa DLS 2026 NBC MOD

28/07/2025

Kuna Project Mpya Ambayo Nimeianza, Sasa naitaji watu watakao Nisaidia Kupanga baadhi ya Sauti, unaweza kujitokeza kunisaidia,Ikiwa una PC itakuwa Vyema Zaidi

+255787590074

10/05/2025

FTS 2025 NBC MOD V2
INAPATIKANA SASA KWENYE CHANNEL YANGU LINK IPO KWENYE COMMENT

Photos from Bembe Games's post 30/04/2025

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS NBC V2

Ambapo hadi sasa Tumeweza Kusasisha Vitu Kadhaa ambavyo atukuviweka Kwenye Toleo Letu la Kwanza la Mchezo

Hadi sasa Tumeweza Kusasisha Baadhi ya Viwanja vinavyo Tumika Kwenye Ligi ya NBC

Tumeweza Kusasisha baadhi ya Viwanja ambavyo tumeviweka kwenye picha hapo chini,Tumeweza Kusasisha Viwanja hivyo ili kuweza Kuleta Ualisia Kwenye Mchezo

Endelea kuwa na kwa taarifa zaidi Za michezo

Photos from Bembe Games's post 22/04/2025

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS 25 NBC V2

Ambayo hadi sasa Tupo haraka Ili tuweze Kumaliza

Tumeweza Kuweka Jezi za timu pamoja Na Mpira unaotumika kwenye Ligi ya NBC

Tupo haraka ili tuweze Kukamilisha Mradi huu Wa FTS 25 NBC, hivi karibuni Tutaweza kutoa Video ya Treller au Video ya Maonyesho Ya Vitu ambavyo Tumekwisha Kuweka katika mchezo

Pia Usisahau Mchezo Huu Tutauleta Ukiwa na Wasimulizi Yaani Watangazaji wakiwa wanatanza kwa Lugha Ya Kiswahili

Endelea Kuwa nasi Kwa Taarifa Zaidi za mchezo

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kigoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Culinary Team

Attire

Telephone

Website

Address


Kigoma