Mwisho wa Reli Jogging Club

Mwisho wa Reli Jogging Club

Share

Mwisho wa Reli Jogging Club ni kundi la WanaMichezo na Mazoezi lililoko Mkoani kigoma Nchini Tanzania

04/12/2025

Mwisho wa Reli Jogging club tunampongeza Katibu wetu Mr .masanja kwa kuuaga ubachera.

16/10/2025
10/10/2025

Hiii inaitwa hakuna kucheka na wowote.

03/10/2025

Jumamosi ya kesho tutakuwa na Route fupi na yenye mvuto tukianzia Kigoma Stesheni hadi Katonga na kurudi hadi Uwanja wa Basketball 🏀 pale Sunset Vista. Kikosi cha SUMA JKT kitakuwepo

Photos from Mwisho wa Reli Jogging Club's post 16/08/2025

Code ya Mishikaki ya Mafuta

14/08/2025

Jumamosi hii mwishO wa Reli Jogging club 👟 Tutakuwa KASULU kwenye Tamasha la Youth 4 Peace Litakalofanyika Jumamosi 16 Aug 2025 saa 12:00 Asubuhi hadi Saa 6:00 Mchana . Nauli ya Kwenda na Kurudi ni Tsh 10000/= tuu, Kukosa Lipa Sasa Twenzetu KASULU 👌

Photos from Mwisho wa Reli Jogging Club's post 05/07/2025

Uzinduzi wa Mwisho wa Reli Jogging 👟 club

04/07/2025

Tunawakaribisha sana Wananchi wote wa mkoa wa Kigoma kuhudhuria Uzinduzi wa krabu ya siku ya kesho Jumamosi tarehe 05/07/2025 kuanzia saa 12:30 Asubuhi Tukianza na Mbio fupi ( jogging) kutokea Kigoma Stesheni hadi Maweni Kisha tutaungana na Jogging zote za Ujiji na Kurudi hadi mwanga Community Center.Mgeni rasmi atakuwa Mhe.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kigoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Kigoma Town
Kigoma