Michezo780

Michezo780

Share

Sports News || History|| Transfer|
Soka kwa wote Instagram & Twitter : @Michezo780

02/12/2023

Kikosi cha Yanga SC kinachocheza mchezo wa Leo dhidi ya Al Ahly.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

Photos from Michezo780's post 02/12/2023

FULL TIME CAF CHAMPIONS LEAGUE

Jwaneng Galaxy 0-0 Simba SC

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

Photos from Michezo780's post 02/12/2023

FULL TIME NBC PREMIER LEAGUE LEO

KMC FC 3-2 Mashujaa FC

Awesu Awesu ⚽️
Wazir Jr ⚽️
Abdulnassir Assa ⚽️
Adam Adam ⚽️
Daruweshi Saliboko ⚽️

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

02/12/2023

Kikosi cha Simba SC Tanzania kinachoanza leo.

Photos from Michezo780's post 30/11/2023

Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng Hersi, amechaguliwa kuwa M/Kiti wa Bodi ya Chama cha Vilabu vya Afrika (ACA).

Eng Hersi Said anakuwa ndio Mwenyekiti wa Kwanza wa Chama hicho cha Vilabu vya Afrika (ACA).

Photos from Michezo780's post 30/11/2023

Klabu ya Tabora United imetoa Jezi zao mpya watakazotumia kuanzia kwenye michezo yao yote iliyobaki msimu huh 2023/2024.

Rangi ipi imekuvutia na kuipenda ?

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

Photos from Michezo780's post 30/11/2023

Wachezaji wanne wa KMC FC wameteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa kikosi cha timu hiyo baada ya kuonyesha kiwango kizuri.

1. Denis Richard (Golikipa)
2. Rahim Shomary (Beki)
3. Ismail Gambo (Beki / Kiungo)
4. Pascal Musa (Kiungo)

Unampa nani Tuzo hiyo ?

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

30/11/2023

Wachezaji wa Yanga SC waliyochaguliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa kikosi cha timu hiyo.

1. Khalid Aucho (Kiungo)
2. Pacome Zouzoua (Kiungo)
3. Clement Mzize (Mshambuliaji)

Je, nani mchezaji bora kwa upande wako ?

Unaweza kupiga Kura yako kupitia App ya Yanga SC.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

Photos from Michezo780's post 28/11/2023

Klabu ya Simba SC imemtangaza Farid Zemiti kuwa Kocha msaidizi wa Kikosi hicho akisaidiana na Kocha mkuu Abdelhak Benchikha.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

28/11/2023

Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Kocha mkuu wa Kikosi hicho Abdelhak Benchikha amewasili nchini Usiku wa kuamkia Leo na kupokelewa na CEO Imani Kajula.

Abdelhak Benchikha anachukua nafasi Ya Roberto Oliviera ambaye waliachana naye.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

t.me/nbcpremierleague

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kilimanjaro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

Kilimanjaro