02/04/2021
Wachezaji wote wa Simba ambao walikuwa wanazitumikia Tim Zao za Taifa wamerejea tayari kwa game la kesho.
I LOVE SPORT TZ NI TUVUTI YA MICHEZO NA BURUDANI TANZANIA NA KAMA NA WEWE NI MWANAMICHEZO AU WEWE NI MWANAFAMILY WA SPORTS LIKE MY PAGE WELCOME MY FANS
02/04/2021
Wachezaji wote wa Simba ambao walikuwa wanazitumikia Tim Zao za Taifa wamerejea tayari kwa game la kesho.
31/03/2021
Nimesha Kupa Yes Tangia Mwanzo😎
Ukitaka kuchagua Straika kwenye Kikosi cha Simba kati Ya washambuliaji John Bocco Meddie Kagera Na Chris Mugalu lazima utamchagua Mugalu kwa sababu anazo sifa zote za uchezaji Katika eneo lake la kufunga .
1. Ananguvu za kutosha
2. Anamiliki mpira ipasavyo
3. Anaweza kufunga kwa kuunganisha pasi za chini kwa namna moja au niunge
4. Anaweza kufunga kwa kichwa .
Chris Mugalu Super straika super fantastic
Ukibisha utakuwa unabisha Na Didier Gomes😂
29/03/2021
EL MAERRIKH VS MANULA WA SIMBA SC.
Klabu ya El Merrikh ya Sudan Imetoa kiasi hiki cha pesa ili kumnyakua Golikipa wa Namba Moja wa Simba SC Aishi Manula wametoa dola 100'000 pia kwa mwezi atakuwa anaripwa dola £80'000 wameonyesha nia kubwa sana ya kumtwaa AISHI SALUM MANULA.
24/03/2021
Tetesi
WAKATI kipa wa Simba,
Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, taarifa kutoka Sudan zinasema kwamba, Rais wa Al Merrikh, Adam Sudacal, ametoa takribani shilingi 230 kuinasa saini yake.
Waarabu hao wa Sudan,
wanaonekana kuwa siriaz katika kuinasa saini ya Manula baada ya kutengeneza rekodi ya kutoruhusu bao katika mechi tatu za hatua ya makundi ya michuano hiyo msimu huu.
18/03/2021
EXCLUSIVE. Baada ya klabu ya Simba SC kuachana Na Mshambuliaji wao Raia wa Nigeria Junior Lukosa 🇳🇬 Simba SC Imetua kwa Mshambuliaji Ovoke Bernard mchezaji Ambaye Katika swara la kutupia kambani ni kawaida yake kwa sasa anawatumikia Pletiau United walimsajili kwa ajili ya CAF Champions League.
Lakini Pletiau United hawakuwa Na bahati kwenye michuano hiyo walitolewa kwenye raundi ya kwanza kuhusu mkataba wa Ovoke Bernard Na Pletiau United alisaini miezi.
Fantastic players⚽🎯
18/03/2021
NI KILIO CHA WATANZANIA 🇹🇿 WOTE KWA JPM KWA KUFALIKI DUNIA 😴ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
15/03/2021
😢
Klabu ya Soka ya Simba SC kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Africa Dhidi ya El Merrikh.
Simba itawakosa wachezaji wawili tegemeo kabisa Taddeo Lwanga Na Beki Kisiki Pascal Wawa wataukosa mchezo huo kutokana Na kadi mbili za njano walizopata kwenye michezo miwili As Vita Club Na El Merrikh.
13/03/2021
Francis Kahata 🇰🇪
Soka la Tanzania liko juu Sana Ligi kuu Tanzania bara inaradha tofauti Na Nchini za Kenya🇰🇪 Uganda🇺🇬Burundi 🇧🇮 Nimeishi Tanzania kwa mda mfupi ila nimeona Timu za Tanzania Simba Na Yanga zinapendwa Na watu wengi ambao wanafanya kazi vizuri ya ushabiki pia wanatusapoti hata sisi wachezaji kwa kutusifu kutupa nguvu za kupambana Na wapinzani.
Alisema Kahata winga wa Simba SC.
13/03/2021
Simba Sports Club Kucheza bila Mashabiki Dhidi ya El Merrikh.
13/03/2021
MAMBO MAZURI KWA BEKI WA SIMBA SC MUDUHWA.
Kocha mkuu wa klabu ya Simba SC Didier Gomes Da Rosa Amesema kuwa kadri ya Siku zinapozidi kwenda Beki wake Mzimbabwe Peter Muduhwa 🇿🇼 anazidi kuimalika zaidi kwahiyo Mechi ijayo Dhidi ya El Merrikh anaweza kucheza.
Kocha Didier Gomes
13/03/2021
PENALTY ZA AJABU VPL.😂
Clatous Chama alikosa penati Dhidi ya Azam FC Matokeo
FT Simba 2-2 Azam.
Tuisila Kisinda alikosa penati Dhidi ya Coastal Union matokeo
.
FT Coastal Union 2-1 Yanga SC.
Chris Mugalu alikosa penati Dhidi ya Tz Prison matokeo
FT Simba 1-1 Prisons
11/03/2021
FT
TP Mazembe 6-0 Kinshasa