21/12/2022
Kwanini manta fc
it is sport page for maendeo manta fc . just it give the information about the team,uptodates, and etc.
21/12/2022
Neno la Mkandarasi wa uwanja
Habar zenu wapendwa nashukuru kwa kuipenda page hii .Kiukweli hii ni page ya michezo Ila kwa sasa kutokana hali ya ugonjwa tulionao duniani tunaomba kubadili malengo na kujikita kupea taarifa kuhusu hali halisi ya ugonjwa.
Asnteni
26/03/2020
Habar zenu wapendwa ktk Page niwashukuru Kwa kua nasi na support yenu ,one love
07/10/2019
K**a kawa k**a dawa .once again,tomorrow we will be on the pitch ... Manta & Shaba ndani ya gomban 10:00 support yenu
Ni mda wa kujipinga na msimu ligi kuu msimu huu saport yenu ni muhim sana
06/12/2017
Tuwe pamoja katika maombi Manta / Juhud maarifa kulee FFU Finya
24/11/2017
Asante Mungu kwa ushindi wa 2-0 Zidi ya Mila
10/11/2017
Okey ni mwendo kas speed ya jabu KWANINI FC 4 na NURi 0 ndani ya uwanjanwa ffu finya.
Hongera sana mtiaji wetu wa magoli,
Tulikuwepo konde police ktk kupeana uzoef na ma best zetu mkungu bobo
19/03/2017
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Wete, Pemba Island, Tanzania
Konde