06/07/2024
Tunatengeneza kesho yetu
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mlali Sports Center, Stadium, arena & sports venue, Mlali, Kongwa.
06/07/2024
Tunatengeneza kesho yetu
20/06/2024
Kocha wetu akiendelea kutoa elimu ya mpira wa miguu kwa nadharia(theory) kwa wachezaji wetu darasani.
16/06/2024
Hatuogopi kunuka jasho kwa kutafuta pesa ya pafyumu
HAPPY FATHER DAY
07/06/2024
Bado CAPTAIN wetu anaendelea kuiwakilisha Mlali Sports Center katika michuano ya UMISETA ngazi ya Mkoa.
Akiwa kijana pekee aliechakuliwa shuleni kwao kwa upande wa Football.
Hakika tunajifunia kuwa nae
06/06/2024
Vijana wakiendelea na mazoezi ya kujiweka sawa kipindi hiki cha likizo.
03/06/2024
Here we go.....
06/05/2024
Tunaishi kiuhalisia
21/04/2024
Vijana wakiendelea na mazoezi ya kujiweka sawa.
10/04/2024
Tunatakia sikukuu njema wote kwa ujumla
31/03/2024
Uongozi wa Mlali Sports Center unawatakia watu wote heri ya Sikukuu ya pasaka kwenu
27/03/2024
Hata mmbuyu ulianza k**a mchicha.
20/03/2024
Our next match