SIMBA Sports CLUB

SIMBA Sports CLUB

Share

tunazungumzia michezo

31/03/2020

Habari Tanzania....πŸ‘‹

Je, unafahamu nini kuhusu CORONAVIRUS (COVID19)?πŸ€”

Toa mtazamo wako.....

Photos from SIMBA Sports CLUB's post 08/12/2019

Wana wa msimbazi mpo

01/12/2019

"Ulinikaribisha vizuri Sana, nilikuwa na furaha Sana kufanya kazi na wewe, nashukuru kwa Kila kitu, nakutakia Kila lakheri "

Ujumbe wa Kiungo wa Simba Sharaf Eldin Shiboub kwa kocha wa Simba aliyetimuliwa kazi.

01/12/2019

Jackpot ya SportPesa imenawiri

Waswahili wanasema kaa karibu na waridi unukie, SportPesa tunasema kaa karibu nasi na ucheze Jackpot bila bando uondoke na milioni 318,595,700.

Unangoja nini kunukia kimilionea?

πŸ‘‰Bofya www.sportpesa.co.tz kucheza Jackpot

Photos from Simba SC Tanzania's post 01/12/2019
01/12/2019

Maisha lazima yaendelee πŸšΆπŸ½β€β™‚

27/11/2019

Faida za kuwa na kadi ya Shabiki. Tutazindua kadi hii Desemba 14, 2019.

27/11/2019

Nahodha wa makombora πŸ”₯πŸš€

27/11/2019

Nahodha John Bocco leo ameondoka nchini kwenda Afrika Kusini kufanyiwa uchunguzi zaidi wa jeraha la misuli linalomsumbua. Amefika salama na tayari ameanza kupatiwa huduma kwenye hospitali ya Netcare Rosebank iliyopo jijini Johannesburg.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kongwa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Kongwa