11/06/2024
KUTOKA KAPUNI.
Hapa nikatika Uwanja wa Shule ya Msingi Mpanda ambapo leo kikosi cha Kyela Veteran scc kilifanya kikao cha ndani pamoja Viongozi,Wachezaji,Wadau .leo nikuendelea kuiboresha Kyela Vateran scc.
30/05/2024
KUTOKA KAPUNI.
Pichani ni .
Mkuu wa Wilaya Kyela ,Josephina Manase akiwa pamoja na viongozi wa Kyela Veteran Scc leo Alhamisi ya tarehe 30/5/2024 katika kikao cha kukabidhiwa kombe kwa kikosi cha Kyela Vetearan Scc kuelekea katika Bonanza la Nyanda za juu kusini litakalo fanyika mkoani humo mwanzoni mwa mwezi wa sita.
Kyela Veterani Ssc inategema kusafiri kesho Ijumaa ya tarehe 31/5/2024 majira ya saa tano kamili Asubuhi ambambo mechi zitachezwa Jumamosi na jumapili takribani timu zaidi ya 15 kutoka mikoa mbalimbali na wilaya zake zitashiriki..
22/05/2024
KUTOKA KAPUNI.
Na ,Rahim Sakabona.
TAARIFA KUTOKA UONGOZI WA UMOJA WA MAVETERAN NYANDA ZA JUU KUSINI KUSOGEZWA MBELE KWA BONANZA.
22/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Na Rahim Sakabona.
TWENDE ZETU NJOMBE KWENYE BONANZA.
22/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Na,Rahim Sakabona.
TWENZETU NJOMBE MWEZI WA TANO.
Picha na matukio mbalimbali ndani ya kikosi cha Kyela Veteran Sc .
22/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Na,Rahim Sakabona.
Picha na matukio ni wachezaji na viongozi wa Kyela Veteran Sc katika maandalizi ya Bonanza la Nyanda za juu Kusini litakalo fanyika mwaka huu pale Mkoani Njombe tarehe 25 na 26 mwezi wa tano.
Timu hii inaendelea na mazoezi pale katika uwanjawao Shule ya Msingi Mpanda Wilayani Kyela.
22/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Na,Rahim Sakabona.
Huyu ni ,Thadeo Masika (Mwanajeshi) ni kocha wa Kyela Veteran Sc nikocha mwenye mafanikio zaidi kuliko makocha wote wanaoshiriki katika mashindano yote ya Bonanza la Nyanda za Juu kusini. Mwaka jana mwezi wa 11 alishinda Ubingwa wa Bonanza hilo pale Tunduma na mwaka huu anaendelea kukinoa kikosi chake kwa safari ya kuelekea Mkoani Njombe ambapo Bonanza litafanyika mkoani hapo mnamo tarehe 25 na 26 mwezi wa tano.
Nauli ya Safari ni shilingi Elfu hamsini kwenda na kurudi kwa mtu yeyote atakae hitaji kusafiri na kikosi hiki.
18/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Wachezaji wa Kyela Veteran Sc wakiwa mapumziko katika moja ya mechi ya kirafiki leo Alhamisi ya tarehe 17 mwezi wa nne dhidi ya watumishi wa Ipinda mechi imechezwa pale Uwanja wa Shule ya msingi Mpanda na kwenda sale ya goli moja kwa moja.
14/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Na,Rahim Sakabona.
UKIWA KYELA NA UNATAKA KUUNGANA NASI KATIKA SAFARI HII PIGA SIMU NAMBA HIYO UPATE MAELEZO ZAIDI.
14/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Picha na Rahim Sakabona.
NJOMBE VETERAN YAPATA MAPOKEZI MAZURI KYELA.
Kikosi cha Timu ya soka ,Njombe Veteran kutoka mkoni Njombe Kimewasili salama wilayi Kyela katika Utalii wao wakuja kutembelea Ziwa Nyasa katika fukwe za Matema Beach.
Njombe Veteran kabla ya kufika Kyela jana siku ya Jua mosi wakiwa safarini majira ya saa nne asubuhi walipata nafasi ya kucheza mchezo wa kirafiki na Rungwe Veteran pale Tukuyu na kuibuka na ushindi wa Goli tatu kwa moja.
Baadae kikosi hicho kilituwa Wilayani Kyela na kucheza mchezo wapili dhidi ya wenyeji wao Kyela Veteran Sc na kutoshananguvu kwa goli moja kwa moja.
Njombe Veterani wamekuja Wilayani Kyela kuwatembelea ndugu zao Kyela Veteran Sc nakupata nafasi ya kutembelea fweke za Matema Beach ikiwa nimaandalizi la Binanza la Nyanda za juu Kusini likatalo fanyika Mkoani Njombe nawao wakiwa ni waandaji wa Bonanza hilo litakalo fanyika siku ya Jumamosi na Jumapili ya tarehe 25/26 mwezi May.
27/02/2024
KIUNGO WA KYELA VETERAN .GODINHO AKIWA KATIKA MAANDALIZI YA BONANZA LA NYANDA ZA JUU KUSINI PALE MKOANI NJOMBE Tarehehe 25 na 26 mwezi May .