Hinterland Training Center

Hinterland Training Center

Share

We are determined to provide quality skills for future life.

Photos from Hinterland Training Center's post 22/06/2018

Tupo kwenye shughuli za kitaija.

06/05/2018

HINTERLAND TRAINING CENTRE
Mkuu wa chuo cha Hinterland training centre (Nachingwea) anawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2018 kwa wakazi wote wa mkoa wa Lindi na hata wale walio nje ya mkoa wa Lindi.
kimesajiliwa na VETA na kinatoa kozi za muda mrefu na muda wa kati (pamoja na kupatiwa cheti) sambamba na kozi za muda mfupi (kwa ajili ya maarifa na ujuzi wa kawaida wa kompyuta.
kina maabara ya kisasa kabisa ya kompyuta zilizounganishwa na INTERNET. Chuo pia kina vifaa bora kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma kozi ya kompyuta & uhazili (computer & secretarial course).
kinatoa kozi na masomo yote yanafuata mitaala ya veta. Ada zetu ni nafuu sana na hulipwa kwa awamu.


Walengwa wa kozi hizi ni WATU WOTE wenye nia na dhamira ya kupata maarifa na ujuzi wa kompyuta kuanzia darasa la saba/kidato cha nne/kidato cha sita/astashahada/stashahada/shahada. Hali kadhalika msisitizo unatolewa kwa watumishi wa taasisi za kiserikali na zile zisizo za kiserikali ili wajiendeleze kwa uwanda huu wa sayansi na teknolojia.

ZINAZOTOLEWA HTC
Kozi za Muda Mrefu (mwaka 1)
1. Information technology (IT)-Teknolojia ya Habari
2. Computer & secretarial course-Kompyuta na Uhazili
3. Information and Communications Technology (ICT)- Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Kozi za Muda wa Kati (mwezi 1-miezi 3)
1. Basic Driving-Udereva wa awali
2. Web design and administration-utengenezaji wa wavuti
3. Computer maintenance -Utengenezaji wa kompyuta

Kozi za Muda mfupi (wiki 2 kwa kila kozi)
1. Ms Word
2. Ms Publisher
3. Ms PowerPoint
4. Ms Access
5. Ms Excel
6. Ms Windows
7. Internet & E-mails

za English pamoja na Entrepreneurship (ujasiriamali) zinafundishwa bure kwa wanachuo wote


Fomu za kujiunga na mafunzo haya zinapatikana chuoni HINTERLAND TRAINING CENTRE
Chuo kinapatikana Majengo C ( Nachingwea) kinatazamana na soko kuu la wilaya ya Nachingwea mkabala na bara bara iendayo chuo cha ualimu (TTC).

MAWASILIANO ZAIDI
The Hinterland Training Centre,
P. o Box 215 Nachingwea, Lindi.

Simu
0711 223 415
0686 423 668
0714 151 314
Barua pepe: [email protected]

(Training for Skilled Performance)

Wahi sasa kwa usajili wa masomo

Photos from Hinterland Training Center's post 10/04/2018

Hinterland Training Centre
You are all welcome!
0711 223 415

10/04/2018
Photos from Hinterland Training Center's post 03/04/2018

Habari?
Karibu Hinterland Training Centre
Chuo kina mazngira safi ya kufundishia
Chuo kina walimu bora wenye sifa
Chuo kina zana za kisasa za kufundishia na kujifunzia.
Tunafundishia course za computer, secretarial, IT, ICT, driving, kwa wiki moja, mwezi mmoja, miezi mitatu na mwaka mmoja.
Wasiliana nasi kupitia 0711 223 415

08/03/2018

kuutaarifu umma kuwa bado tunaendelea kupokea maombi mapya kwa wote wenye nia ya kujiunga na mafunzo ya computer na secretarial courses......
usome.....
Ms Word
Ms Publisher
Ms PowerPoint
Ms Access
Adobe Illustrator
Ms Windows
Internet and E-mail
Driving
Computer & Secretarial
Information Technology
Computer maintenance
Web design n.k
Ada zenye unafuu na zinazolipika....
Mazingira bora yenye kuruhusu elimu na ujuzi.
Walimu bora wenye ubobezi wa fani utakazohitaji
Karibuni
0711223415

Photos from Hinterland Training Center's post 26/02/2018

šŸŒ vijana Wetu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Lindi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


P. O Box 215, Nachingwea
Lindi