Yanga Sport Club

Yanga Sport Club

Share

Timu yetu

05/08/2024

Unacheza ukisikia KIU unakunywa GSM Water πŸ’¦πŸŒŠ

05/08/2024

Bajeti ya Jana Pekee ilikuwa zaidi ya Jiwe , Alhamisi tena πŸ˜‚ Tff punguzeni viingilio.

Mzunguko 3000 na Machungwa 5000

Watu wame spend sana pesa weekend hii

05/08/2024

CHAMA NI YULE YULE πŸ™ŒπŸ’›πŸ’š

Kuna kikundi Cha wahuni kimeamuwa kuanza kuwaongopea watu eti chama kaisha πŸ˜„ dah nyie Chama bado ni yule yelu 🀝 SEMA aongeze Kasi( speed tuu ) ila kusema kaisha msahau πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ mwamba wa Lusaka mzee wa locomotive faint πŸ™Œ

05/08/2024

Anaandika pale Yanga Sc kuna wachezaji wengi bora sana,orodha ni ndefu ya hao wachezaji bora lakini endapo nikiulizwa swali la kutaja wachezaji watatu mpaka wanne muhimu basi kuna huyo mwamba kwenye picha lazima awepo.

Kwenye somo la UCHUMI kuna kitu kinaitwa SCALE OF PREFERENCE,unakua na namba ya mambo ya kufanya na yote ni muhimu lakini kuna moja muhimu zaidi na mengine yatafuata accordingly.

Mfano kwenye vitu hivi vitatu hapa chini

A. Gari limeharibika tairi

B. Mtoto anaumwa sana

C. Mama mzazi anaomba msaada wa kifedha kijijini.

Kwenye SCALE OF PREFERENCE,vitu hivi vitatu vyote ni muhimu LAKINI kuna nanna umuhimu unakua unapishana uzito

Kupitia hivyo vitu vitatu kuna cha kwanza muhimu sana kuliko vingine,na mpangilio utakua k**a ifuatavyo

A. Mtoto anaumwa sana,maana yake hapa familia itaangalia swala hili kiupana na kumpeleka hospital.

B. Mama mzazi kupewa msaada litakua jambo la pili kwenye umuhimu kwasababu ya mazingira ya mama anayoishi huko kijijini.

C. Gari kuharibika tairi maana yake familia itachukulia k**a jambo la tatu muhimu kwasababu gari kuharibika sio kwamba watakua wamekosa option ya kufanya namna kufika eneo/maeneo tofauti tofauti ya kazi zao.

Kwanini mfano huo hapo juu? Kwasababu ndani ya Yanga Sc hao wachezaji bora wapo wengi lakini ubora na ukamilifu wao unatofautiana.

Kwangu mimi ndani ya Yanga Sc wachezaji wanne/ watano muhimu ni k**a ifuatavyo kimpangilio.

1. Pacome Zouazoua

2. Djigui Diarra

3. Max Nzegeli

4. Aziz Ki

5. Khalid Aucho

NOTE: Pacome Zouazoua na Maxi Nzegeli ni wachezaji ambao ni ngumu sana kupotezwa kwenye mechi zenye intensity na daraja la juu la mpinzani.

02/08/2024
01/08/2024

Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake na Brighton & Hove Albion WFC Aisha Masaka ameshida tuzo ya mchezi bora wa k**e anayecheza nje

01/08/2024

πŸš¨π“π”π™πŽ 𝐙𝐀 𝐓𝐅𝐅 2023/24.

Stephanie Aziz Ki Ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Wa ligi kuu NBCPL (MVP) 2023/24.

01/08/2024

πŸŽ™οΈ KOCHA MIGUEL GAMONDI:

β€œNina wachezaji 27 katika timu, siwezi kuwatumia wote mara moja, wanapaswa kuanza 11 na hao inategemea na mpinzani wetu yupoje.

β€œKitu kikubwa ninahitaji kuona timu ikicheza vizuri na kushinda, suala la nani acheze inategemea na amefanyaje mazoezini wakati wa maandalizi.”

01/08/2024

Aziz Ki ni MVP wa NBC msimu wa 2023/24.πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

01/08/2024

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki ametangazwa kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24.

Aziz Ki akiibuka kinara wa upachikaji magoli akiingia kambani mara 21 magoli mawili mbele ya nyota wa Azam Fc, Faisal Salum 'Feitoto' aliyemaliza na magoli 19.

Nafasi ya tatu inashikiliwa na Wazir Junior (magoli 12), Saido Ntibanzokiza mwenye magoli 11 sawa na Maxi Nzengeli (magoli 11).

01/08/2024

Sio siri huu wimbo wa Harmonize aliowatungia WATANI ni mkali sana. Wimbo una vibe, una morali na unachezeka. Hapa YANGA inabidi wamuongezee pesa Mmakonde maana amewatendea haki mnoo.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mafinga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Mafinga