31/08/2020
Tottenham Hotspur wako kwenye mazungumzo na Bournemouth juu ya Joshua Josh King. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anaonekana k**a mshambuliaji mzuri akisimama na Harry Kane.
(Chanzo: talkSPORT)
31/08/2020
Nani mkali hapo
🅰️Bernard Morrison
🅱️Tuisila Kisinda
Twende sasa piga kura yako hapa tupate mkali kulko mwezie
31/08/2020
Hivi ni vilabu vilivyotwaa mataji mengi zaidi duniani, kwenye karne hii ya 21 tangu 1/1/2000.
Klabu ya Al Ahly kutoka Misri inashika namba moja ikiwa imetwaa vikombe 41.
Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Transfermarket.com
30/08/2020
MATCH DAY
🏆 Wolfsburg 🆚 Lyon
⏲ 21:00 CET
🏟 Anoeta, San Sebastián
30/08/2020
Yupi atakuwa Wa Kwanza kucheka Na nyavu leo FAINALI YA UEFA WOMEN'S CHAMPIONS LEAGUE? 🤩
1⃣ Pernille Harder
2⃣ Dzsenifer Marozsán
3⃣ Wendie Renard
4⃣ Dominique Janssen
26/08/2020
Messi akicheza na De Bruyne huko Manchester City, au na Neymar huko PSG au na Cristiano huko Juventus
Wapi atakuwa bora zaidi !?
25/08/2020
Kila wakati tumeamini kuwa uhusiano wa Messi na Barca unapaswa kumalizika hadi Mtaalam atapostaafu, lakini ikiwa ataondoka, Ziko sehemu zinazowezekana kuvutia sana. Kwake
Je! Kwa Pep Guardiola?au Kuungana tena na Neymar? Au vip pale Inter? Au pia aungane na Cristiano Ronaldo?
🎯Yote Na yote tuendelee kusubiri maamuzi !!
25/08/2020
🏆 𝐂𝐡𝐚𝐦𝐩𝐢𝐨𝐧𝐬! Hongera Real Madrid - Washindi wa Ligi ya Vijana ya UEFA 2020!
Wakimchapa 3-2 Benfica fainali ikipigwa huko Nyon, Uswizi.
Mabingwa hao wa Ulaya Real Madrid chini ya umri Wa miaka 19 wanafundishwa kocha Raúl González!
Pongezi Kwa Raul
25/08/2020
Vip hapa sote tunangoja kuona hii ikitokea ?
25/08/2020
Mashabiki 30% kuingia Uwanjani katika mechi ya Super Cup.
UEFA wametangaza rasmi, 30% ya mashabiki wataweza kuingia uwanjani kushuhudia fainali ya UEFA Super Cup kati ya Bayern Munchen na Sevilla itakayopigwa Septemba 24, 2020.
Fainali hii ya UEFA Super Cup huwakutanisha washindi wa UEFA Champions League na UEFA Europa League hivyo mechi itakuwa kati ya Bayern vs Sevilla.
25/08/2020
Hili nalo ni moja kati ya matukio makubwa zaidi katika historia ya mpira tatu bora ya tuzo za balon d'or Wote wakitoka katika klabu moja. 😞🔴
25/08/2020
Gary Lineker:
"Ikiwa Messi ataondoka Barcelona kwa kuamsha kifungu cha kukomesha, natumai Klabu itajaribu kumsaidia, sio kumzuia. Amekuwa mwaminifu kwa ukali na mchezaji wake bora. Ingekuwa ya kusikitisha sana nikimaliza na mchezaji pigana kati ya mchezaji na kilabu.