21/12/2021
SIMBA Dume-Temboni
hii page ni mahsusi kwa mashabiki,wapenzi,wakereketwa wa SIMBA SPORTS CLUB wa tawi la simba dume lililopo kimara temboni jijini DSM.
21/12/2021
21/12/2021
SIMBA YETU... uwanja wetu
20/11/2021
Leo nimeshiriki katika DUA na IBADA maalum ya kuwakumbuka MALEJENDARI wenzetu wa LEADERS CLUB SUNDAY BONANZA waliotangulia mbele ya haki...😭🙏
04/09/2017
Azam hatoki
26/06/2017
*ORBITUARY*
Leo ni mazishi ya mwanachama mwenzetu Elias Mweta aliyekuwa mhasibu pale Courtyard Hotel ambaye alifariki siku ya mtanange wetu na Gongo Wazi FC alipokuwa akishangilia goli la Kichuyaa.
*_Hivyo basi kwa siku tatu kuanzia leo mpaka Alhamis bendera yetu pale tawini itapepea nusu mlingoti kwa heshima ya mwenzetu na kumuomba mwenyezi ampumzishe mahala pema peponi_*
23/01/2017
Caption plz....
21/01/2017
Huu ndio ukweli wenyewe....
25/09/2016
RIP ADOLPHE...
*RATIBA YA MAZISHI*
Ifuatayo ni ratiba ya mazishi ya marehemu Aldolphe Simon Kivamwo yatakayofanyika siku ya Jumapili tar 25/09 kwenye makaburi ya Kinondoni.
*Saa 2-3asb*:-Mwili kuwasili nyumbani kwa Marehemu MBEZI luxury ukitokea Tumbi Hospital ulikokuwa umehifadhiwa.
*Saa 3-5asb*:-Sala fupi na waombolezaji kupata chakula cha Mchana.
*Saa 5:30asb*:-Msafara utatoka MBEZI kuelekea viwanja vya Leaders Club-Kinondoni.
*Saa 7-9alasiri*:-Ibada ya misa,kutoa heshima za mwisho, wasifu na salamu za rambirambi..vyote hivi vitafanyika hapo Leaders Club.
*Saa 10-11jioni*:-Mwili wa mpendwa wetu utalazwa katika nyumba yake ya milele pale kwenye makaburi ya Kinondoni.
*WITO*
Uongozi unapenda kuwaomba wadau wote kujitokeza siku hiyo... Ili kudhihirisha ile kauli mbiu yetu ya SIMBA nguvu moja na bila kusahau kuwakilisha michango yetu kwa Makamu Mwenyekiti au Mweka Hazina wa Tawi.
*Johnson KASHUSHURA*
(Kaimu Katibu Mkuu,Habari na Mawasiliano)
*SIMBA DUME-TEMBONI*
(Mpira Uwanjani)
Uongozi wa tawi la Simba Dume-TEMBONI unasikitika kutangaza kifo cha mwanachama wake Bw.Aldolphe Simon Kivamwo kilichotokea usiku wa kuamkia leo huko nyumbani kwake Mbezi Luxury.. So ukiwa k**a mwanachama tunaomba mchango wako haraka iwezekanavyo ili kusaidia shughuli za mazishi... Rambi Rambi zote zitumwe kwa Makamu Mwenyekiti wa Tawi Bw. Daniel MANGESHO(0715 215 735) au Mweka Hazina wa Tawi Bi.Eva DAMSON(0715 568 079)..Imetolewa na Ben SHIJA(Mwenyekiti)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Address
Makabe