Shabiki wa Simba Tanzania

Shabiki wa  Simba Tanzania

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shabiki wa Simba Tanzania, Sport & recreation, Manyara.

26/01/2021



FromsimbascTanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mchana huu tunashusha kitu kingine kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa.
Mchezaji huyu pia atashiriki Simba Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho.

Chuma kimechomolewa Cameroon na sasa kinatua MSIMBAZI ๐Ÿฆ

Photos from Shabiki wa  Simba Tanzania's post 15/01/2021

Perfect Chikwende is redโ›”Now
Wish you good luck our legend

27/09/2020

Yanga wasihirisha kuwa mpira ni uwadui sio ungwana Mchezo Wa Yanga dhidi ya

Mtibwa sugar iliopigwa 27sept Mashabiki wa yanga
Wampigwa tena Mshabiki wa Simba Simameni na hili sasa k**a mnataka Tanzania iendelee kuwa na Amani

k**a awali ikiwezikana itolewa yanga kabsa yaani ifutwe kwenye leage isiwepo tena au

ifungiwe leage Misimu 6 kwa usembe huu football is fair play

kwanini maalumbano yawepo k**a mchezo ni sehemu ya burudani
๐Ÿฆ๐Ÿ’ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

23/09/2020

Tutaendelea kubishana hadi

Lini wakati takwimu Sinaonyesha kuwa

Vilabu pekee bora Africa
(1) Simba
(2) Alahlly
(3) Raja sport

Official audio narropil by Mr Maasai 21/09/2020

๐Ž๐Ÿ๐Ÿ๐ข๐œ๐ข๐š๐ฅ ๐ง๐š๐ซ๐ซ๐จ๐ฉ๐ข๐ฅ ๐š๐ฎ๐๐ข๐จ ๐ฐ๐š๐ญ๐œ๐ก ๐ข๐ญ ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐›๐ž ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐›๐š๐๐จ ๐ก๐ฎ๐ฃ๐š๐ข๐ญ๐š๐ณ๐š๐ฆ๐š

๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐ฐ๐ž ๐ก๐š๐ฎ๐ฃ๐š๐œ๐ก๐ž๐ฅ๐ž๐ฐ๐š ๐ญ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐š๐ง๐ž ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฌ๐š๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ข ๐ง๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐Œ๐ซ

๐Œ๐š๐š๐ฌ๐š๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ฅ๐ž ๐ฐ๐š๐ฉ๐ž๐ง๐ณ๐ข ๐ฐ๐š ๐†๐จ๐จ๐ ๐ฆ๐ฎ๐ฌ๐ข๐œ

๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฌ๐š๐ก๐š๐ฎ ๐ค๐ฎ ๐ฌ๐ฎ๐›๐ฌ๐œ๐ซ๐ข๐›๐ž ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐›๐ž ๐œ๐ก๐š๐ง๐ง๐ž๐ฅ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐ŸฝHi hapa link nishaitupa youtube

Official audio narropil by Mr Maasai Don't forget to subscribe our youtube channel for more Updates

09/08/2020

About Senzo
Ready picture?

Photos from Shabiki wa  Simba Tanzania's post 08/08/2020

MORISSON IS RED๐Ÿ›‘
NOW SIMBA

29/07/2020

*TUZO ZA VPL 2019/2020*

*Bingwa wa Msimu 2019/2020:* Simba SC
*Timu Bora ya Msimu:* Simba SC
*Kocha Bora wa Msimu:* Sven Ludwig Vandenbroeck (Simba SC)
*Mfungaji Bora wa Msimu:* Meddie Kagere (Simba SC)
*Golikipa Bora wa Msimu:* Aishi Manula (Simba SC)
*Mchezaji Bora wa Msimu:* Clatous Chota Chama (Simba SC)
*Timu yenye nidhamu bora ya Msimu:* Simba SC
*Mlalamikaji Bora wa Msimu:* Yanga
*Mtukanaji Bora:* Luc Eymael (Yanga)
*Soka bora la kuvutia la Msimu:* Simba
*Goli Bora la Msimu:* Luis Miquissone (Simba vs Alliance)

_*Orodha inaendelea kutoka... Fuatilia Azam Sports kwenye mitandao yake ya kijamii*_
๐Ÿค“Unaoje hiyo ni kali kuliko yote
Endelea kuwa karibu yetu kwa habari moto moto na za Uhakika?

28/07/2020

Hongera Clatous Chama
Ahsanteeni mashabiki
Kwa kuniona na kunipigia

Kura kuweza kuwa the best
Player kwa msimu huu wa 19/20 Mungu asidi kuwa

Bariki na Muwendelee kuwa
na Upendo k**a huu? Like

Page na ku comment Share kudri uwezavyo ili tuendelee
kuisaporti Team yetu?

24/07/2020

Sio kila Mnachokiona
Mitandaoni kikijiri

Mkiamini tunapenda
Kusisitisa kuwa Taarifa

ilio ya kweli kuhusu klabu
yetu pendwa ya simba
Sport club
Inatolewa kupitia
App ya

Simba sc Tanzania
โœ๐Ÿฝ
โœ๐Ÿฝ
โœ๐Ÿฝ

Sio kika media ana
Habarisha kweli

Kuhusu ujumbe wa Picha
Hakuna ukweli Wowote
Tusubiri Julay 31๐ŸŒ—๐ŸŒโœ๐Ÿฝโœ๐Ÿฝ

22/07/2020

*MWANA SIMBA POPOTE PALE ULIPO*

Gazeti la MwanaSpoti imeanza kuwa Adui yetu hivyo popote pale ulipo Epuka kununua Gazeti hili maana halina au halitutakii mema Club ya Simba na mafanikio yake.
Linatumika kutumiza matakwa ya watu flani Dawa ni kutokulisoma hasa kutolinunua wala kulipost.
Upatapo msg hi fwd kwa Wanasimba wenzako popote pale. Simba ni zaidi ya Habari na ni kubwa kuliko hili Gazeti.

*EPUKA WAZUSHI TUPA MBALI NA UDAKU*

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Manyara?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Culinary Team

Attire

Telephone

Website

Address


Manyara