Abubakari seif iddy

Abubakari seif iddy

Share

Player of
Magoli madogo football club
Striker

07/01/2025

My dream team to play Mlimani Academy

Photos from Mlimani Youth Empowerment and Sports Academy Organization 's post 28/10/2024

👏👏👏👏

Photos from Abubakari seif iddy's post 20/10/2024

Player 🎉🎉🎉🎉🔥🔥

21/08/2024

🔥🔥🔥

16/08/2024

Kwani majini hayaruhusiwi kunyoa kiduku? inabidi tufanye utafiti hapa maana "No Research, No Right to Speak"! 🤣🤣

Naam hili ni kosa la Muongozaji (Director) wa Filamu pamoja na Mtu wake wa "Make Up" maana ndiyo wahusika zaidi katika ubunifu wa muonekano wa Wachezaji (Waigizaji) yaani"Characters".

Waongozaji simamieni ubora wa kazi zenu, Watazamaji wa sasa siyo wa enzi hizo, Watazamaji wa sasa wanaangalia Filamu kibao za nje hivyo wanajua pumba na mchele ni upi, wakiona kazi fulani wanajua hii ndiyo au hii hapana, hizi siyo enzi za "Nsyuka" jini anaangalia magari asigongwe kisha anavuka barabara, enzi hizo tulishindwa kukosoa kwa sababu tulikuwa nyuma sana kifikra.

Toa maoni yako


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Manyoni?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Manyoni