Ticon Company Ltd

Directions Contact the business

Ticon Company Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ticon Company Ltd, Sports, Mbeya.

04/02/2026

Kwa muda mrefu, Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania zimebeba uzuri mkubwa ambao haujawahi kusimuliwa kikamilifu kwa dunia. Milima inayogusa anga, maji ya moto asilia, maporomoko ya maji, misitu ya asili, tamaduni hai na jamii zenye urithi wa kipekee.

Southern Highlands Hidden Wonders ni safari ya kuusimulia uzuri huu kwa, ubunifu na mtazamo wa dunia. Si utalii pekee ni jukwaa la kuhifadhi urithi, kukuza ajira, kuimarisha uchumi wa ndani na kuunganisha Kusini mwa Tanzania na dunia

Hii ni hadithi ya asili.
Hii ni fahari ya taifa.
Hii ni mwaliko wa kuja kuona uzuri ambao hauishii machoni… bali unaishi moyoni.

Southern Highlands Hidden Wonders
Beauty Beyond Imagination. šŸŒ www.ticoncompanylimited.com

Mkulugenzi wa Ticon Sports Agency  akiwa pamoja na viongozi wa yanga sport club mkoa wa mbeya pamoja na simba sport club...
07/11/2022

Mkulugenzi wa Ticon Sports Agency akiwa pamoja na viongozi wa yanga sport club mkoa wa mbeya pamoja na simba sport club mkoa wa mbeya baada ya mkulugenzi kutoa jezi pande zote mbili k**a zawadi kwa mashabiki ikiwa n maandalizi kuelekea watani wa jadi festival.


30/10/2022

Viongozi wa Ticon Sports Agency wakimalizia maandalizi ya tamasha la watani wa jadi( mashabiki ) maarufu k**a watani wa jadi festival. Chini ya usimamizi wa Mkulugenzi .

USIACHE KUTU FOLLOW FOR MORE UPDATES
Instagram


30/10/2022

Mkulugenzi wa Ticon Sports Agency ndug AMANI GEORGE akitoa ufafanuzi juu ya watani wa jadi festival. Ambapo pia viongozi wa watani wa jadi ( mashabiki ) walipata wasaha wakuelezea namna walivo pokea swala hilo.

10/07/2022

Sports for life

10/07/2022
Jina:Kelvin John KombaTimu:Mtibwa sugarNafasi:MshambuliajiWakala:Ticon sports agency. Tupo kwa ajili ya mpira na kulea v...
05/04/2022

Jina:Kelvin John Komba

Timu:Mtibwa sugar

Nafasi:Mshambuliaji

Wakala:Ticon sports agency.

Tupo kwa ajili ya mpira na kulea vipaji na kuvipatia nafasi toka nyanda za juu kusini.

Mikono salama Kwa vijana walio na vipaji Tanzania .

# sports agency # #

03/04/2022

Muda wa kazi huu tunatengeneza mipango mikubwa ya Ticon sports agency.

Upo tayari mkoa wa Mbeya fanya kazi na Sisi kutuagizaa vifaa vya michezo kutoka kiwandani China na kukufikishia popote ulipo .

Kituo kinachofuata ni .......................Mbeya mpo tayari.

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ticon Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ticon Company Ltd:

Shortcuts

Share

Category