25/06/2026
Kikosi chetu kinatarajia kuondoka Jumamosi Juni 27,2026 alfajiri kuelekea wilayani Rungwe kwa ajili ya kushiriki sherehe za ubingwa wa Rungwe Veterans. Kikosi chetu kitaondoka na wachezaji 28 na viongozi 6 huku tukiwa tumejipanga kuhakikisha tunuleta ushindani mkubwa kwenye michezo maalum ambayo tutacheza siku hiyo katika Uwanja wa Tulia (Tandale) wilayani Rungwe mkoani Mbeya.
Idara ya habari
June 25/2026
02/06/2026
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Msemaji na Mchezaji wa timu yetu ya Ndg. .shabani.73! Sote tumtakie neno la kheri Alcรขntara wetu wa kucharge!๐๐๐
26/08/2025
Mtag k**a umemtambua Messi wa Ituha Veterani fundi wa ball โฝ๏ธ kabla hajajipa alikuwa na ndoto za kucheza Yanga Afrika.๐๐๐
25/08/2025
โฆ Wazee wa Location hapa ni Wapi?๐ค
NB: Hii game Morisson aligusa mpira mara 3 pekee ndani ya dakika 45.๐๐๐
17/11/2024
Ituha Veterani Fc tunatoa pole kwa familia na wote walioathirika na ajali ya kuporomoka kwa jengo Kariakoo. Tunawaombea majeruhi wapate nafuu ya haraka na nguvu kwa waliofiwa.๐๐๐๐๐ผ
17/06/2024
Admin kapata bando baada ya kufunga goli jana bhana๐๐๐๐ anyway shughuli ya Jana Mbalizi Veterans wamepigwa Chuma 2-1 dhidi yetu Ituha Veterani Uwanja wetu wa Nyumbani Old Trafford Songwi,Ituhaโฆ mchezo wa marudiano ni Jumapili June 22 Mbaliziโฆ imani yetu tutawakanda tena.๐๐๐
01/05/2024
Football ni zaidi ya familiaโฆ nyakati za furaha zinatawala zaidi ndani ya Ituha Veterani.โค๏ธ๐
๐
23/04/2024
Tupo Chimbo ila siyo Zanzibar kwa Simba.๐๐๐
16/01/2024
Captain material Payet on the wheel ๐ ๐ฅ๐ซถ๐ฝ