TATIZO LENU MIKIA MNAJUA KUCHEZA MPIRA WA MDOMONI ILA MKIINGIA UWANJANI MNACHEZA SEGERE
DAR YOUNG AFRICAN SUPPORTERS
Nimeanzisha ukurasa huu kwa ajili ya mashabiki wa YANGA kupeana maoni mbalimbali ya michezo, naipenda YANGA. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
10/01/2020
Hatimaye Simon Msuva ajiunga na klabu ya Benificaa
20/09/2019
NAIPENDA SANA YANGA TIMU YA WANANCHI 100% YAANI YANGA SC
Mtu akikuambia kaa vizuri ujue kashaakuona.
Swali kwako amekuona nini?
Yanga hii hainaga masiala na mtu. K**a we ni Mwanayanga comment Oyooooo!!!
Wanayanga tunasota tu ingawa hatuna pesa lakini Mungu ni mwema kwetu, anatupenda. Najua ipo siku tutafutwa machozi yetu. K**a wewe ni mwanayanga usichoke kuisapoti timu yako, tujipe moyo tutafanikiwa tu.
Mimi k**a Mwanayanga sijaona aliyeziba pengo la Msuva ktk klabu ya Yanga.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Mwalisi
Mbeya