Sports Attack

Sports Attack

Share

Page hii ni Kwaajili ya taarifa za kimichezo ndani na nje ya Tanzania ๏ฟฝ

27/08/2026

๐—ฅ๐—”๐—ฆ๐— ๐—œ:

Mamelodi Sundowns itakutana na Al Ahli ya Saudi Arabia katika mchezo wa FIFA African-Asian-Pacific Cup.

Mchezo huo utapigwa Septemba 19, 2026, kwenye uwanja wa Loftus Versfeld Stadium, mjini Pretoria, Afrika Kusini.

Mshindi wa mchezo huu atatwaa taji la FIFA African-Asian-Pacific Cup na kutinga hatua inayofuata ya mashindano, FIFA Challenger Cup.

Mshindi wa hatua hiyo ataendelea na safari ya kuwania FIFA Intercontinental Cup, ambayo itafikia kilele kwa fainali dhidi ya Paris Saint-Germain, mabingwa watetezi.

Sundowns vs Al Ahli โ€” pambano la mabingwa wa Afrika na Asia!

Photos from Sports Attack's post 26/08/2026

TUKUTANE KWENYE UPANGAJI WA MAKUNDI

26/08/2026

RASMI
VILABU 36 VITABUOCHEZA MASHINDANO YA KLABU BINGWA ULAYA HIVI HAPA

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England: Arsenal, Aston Villa, Liverpool, Manchester City, Manchester United

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Spain: Atlรฉtico Madrid, Barcelona, Real Betis, Real Madrid, Villarreal

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: Bayern Munich, Borussia Dortmund, RB Leipzig, Stuttgart

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italy: Como, Inter, Napoli, Roma

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France: Lens, Lille, PSG

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey: Fenerbahรงe, Galatasaray

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Portugal: Porto, Sporting CP

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands: Feyenoord, PSV

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway: Bodรธ/Glimt, Viking

๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ท Greece: AEK Athens

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Belgium: Club Brugge

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Austria: LASK

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฟ Azerbaijan: Sabah

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Ukraine: Shakhtar Donetsk

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Czechia: Slavia Prague

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ Slovakia: Slovan Bratislava

16/08/2026
Photos from Sports Attack's post 16/08/2026
16/08/2026

MSIMAMO WA LIGI KUU NBC

14/08/2026

MSIMAMO WA NBCPL

14/08/2026

KOCHA MPYA ASIYE MZAWA WA UHORANZI

Xavi Hernandez anakuwa kocha wa kwanza kutoka nje ya viunga vya UHOLANZI tangu mwaka 1978 na mchezo wake wa kwanza utakuwa zidi ya Ujerumani

14/08/2026

BREAKING

Leo Habari njema kwa mashabiki wa Yanga SC.

Rasmi FIFA imeifungulia Yanga kufanya usajili.
Hii ni baada ya klabu kufanikiwa kulipa madeni limbikizi kwa wachezaji wasiotajwa.

Uongozi wa yanga umesema sasa timu itaendelea kujiimarisha kwa usajili wa mwisho.

14/08/2026

FULL TIME

SINGIDA BS 3-0 FOUNTAIN GATE

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Uyole
Mbeya