04/10/2022
Timu 5 za juu msimamo wa ligi kuu Uingeleza ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ถ
Nyumba ya soka ๐๏ธ ๐น๐ฟ๐ฐ๐ช๐บ๐ฌ
04/10/2022
Timu 5 za juu msimamo wa ligi kuu Uingeleza ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ถ
21/09/2022
Ifike muda sasa tuanze kuwamini wachezaji wetu wazawa wa TANZANIA ๐น๐ฟ ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni na kufanya ligi yetu kuwa bora Afrika
Tumejijengea tabia ya kuwaamini wachezaji wa kigeni na wakati kuna vijana wengi tuu wa ndani Tanzania wanauwezo mkubwa wa kucheza timu kubwa k**a Yanga, Simba, Azam n.k
Mfano wachezaji wa TANZANIA wanaocheza Simba au Yanga wamekuwa wakicheza kwa jitihada kubwa kutokana na kupata namba mara chache na kazi wanayoifanya haiendani na malipo kwenye mikataba yao๐
20/09/2022
FULL TIME NBC PREMIER LEAGUE ๐น๐ฟ
โซKMC FC 2-1 IHEFU FC ๐ต
20/09/2022
Maneno ya kocha mkuu Singida Big Star HANS VAN PLUIJM kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya GEITA GOLD