02/12/2025
Afadhali jamani, nilitoa mawazo kabla Simba haijapoteza mechi ya pili, tumepoteza mechi 2 mpka sasa kimataifa na zilizobaki ndo ngumu.
TAARIFA KWA UMMA.
HAPA NI HABARI MUHIMU ZA MICHEZO TU, MATUSI,PICHA ZA UTUPU, NA VITU VINGINE VISIVYOKUBALIKA HAVIRUHISIWI KATIKA PAGE HII
02/12/2025
Afadhali jamani, nilitoa mawazo kabla Simba haijapoteza mechi ya pili, tumepoteza mechi 2 mpka sasa kimataifa na zilizobaki ndo ngumu.
TAARIFA KWA UMMA.
UKWELI NI MCHUNGU SIMBA WAMEAMUA KUACHANA NA MENEJA WAKE PANTEV NA TIMU ITABAKI CHINI YA MATOLA
SIPINGI MUSEMACHO KIWA NI AJIRA ZA WATU ILA ILE NI TAASISI INAITAJI MAFANIKIO UWONGOZI WA SIMBA NDIO TATIZO KUU NA UPO PALE KWA MASLAHI BINAFSI NA SIO YA TAASISI K**A MUPO KITETEA AJIRA ZA WATU BASI KAENI KIMYA MUSILETE LAWAMA ILA K**A MUNAITAJI MAFANIKIO WASIANGALIANE USONI MAMBO YA YULE NDUGU WA FULANI NDIO MWANZO WA MATATIZO
HUYO MATOLA NDIO TATIZO LA KWANZA K**A SIMBA AMUWEZI KUMTOA BASI MPENI NAFASI KWENYE SEKTA NYENGINE AKUNA KOCHA ANAPENDA KUWA CHINI YA KOCHA
K**A KUNA KOCHA ATAKUJA BASI ATEGEMEE THANKS YOU MWISHO WA MSIMU
08/05/2024
𝗗𝗢𝗡𝗘 𝗗𝗘𝗔𝗟
🚨 ;Timu ya Wananchi Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mkabaji Yusuph Kagoma Kutoka kwa Singida fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha mwaka mmoja wa nyongeza.
Yusuph Kagoma atasaini mkataba na Yanga siku ya jumanne makao makuu ya Gsm Salamander Tower.📝
🟡🟢
08/05/2024
PRINCE DUBE | Ametikisa nyavu kwenye ‘Mzizima Derby’ tatu mfululizo za ligi kuu;
Je, safari hii itakuwa zamu ya nani kuzigusa nyavu za Simba?
Tukutane Mei 9 LIVE kuanzia saa 12:15.
08/05/2024
“Aziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni k**a kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitajika na timu nyingi kwa hizi timu za Afrika Kusini Aziz hawezi kucheza na watu wanaofanya dhuluma namna ile”
“Ziko ofa nyingi lakini kubwa ambalo naweza kuwaambia wanayanga,wachezaji bora ambao wamewaona kwenye kikosi chetu wanasalia kwenye kikosi chetu” Maneno ya Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe akielezea kuhusu mkataba wa Aziz Ki na klabu ya Yanga.
07/05/2024
WANASIMBA Mnamtaka Nani Hapa⁉️👇
05/05/2024
UPDATES:
Zilizotufikia Sasa ,kocha wa Al hilal ya Sudan Florent Ibenge amevunja mkataba wake na timu hiyo.
Inatajwa kocha huyo kulingana nz Hali ya kiamani ya Sudan anakuja Tanzania kuingoza timu Moja kubwa hapa Tanzania.
# #
kwa wote #
Tupate burudani kidogo kutoka kwa wadhamini.