11/09/2025
Alianza na kibao cha selemani akachapa zinginee nyingii 🎵🎵 Aviola,asumani pawa NK; ipi ilikubariki zaid kutoka kwa mshedede mbosocan... SIMBA DAY
follow and subscribe ourpage for news updates
11/09/2025
Alianza na kibao cha selemani akachapa zinginee nyingii 🎵🎵 Aviola,asumani pawa NK; ipi ilikubariki zaid kutoka kwa mshedede mbosocan... SIMBA DAY
22/07/2025
Anaitwa allasane kante kiungo mzuiaji raia wa Senegal miaka24 ni kwamba amesaini kuitumikia klabu ya simba sports .
Vyanzo vya kuaminika vimeripoti juu ya ujio wa kiungo huyo nyota aliye wahi kuhudumu vilabu kadhaa nchini senego na sasa atajiunga na simba akitokea klabu ya Birzetin ya Tunisia.
19/07/2025
Nani acheze kule kwa zimbwee kwa klabu ya simba.maoni yako mhimuu x**a
19/05/2025
Sasa rasimi fainali ya mwishoo Amaani Stadium Zanzibar.
18/05/2025
Jioni ya leo amecheza mchezo wake wa mwisho na kuisaidia timu yake kutinga hatua ya fainali ya kombe la CRDB Federation cup vs JKT Tanzania walipo shinda goli 2-0.
Azizi K anataraji kujiunga na wydadi club athletic ya moroco mda wowote kwa sasa tayari kwa michezo ya kombe la dunia ya vilabu ambapo mchezo wao wa kwanza utapigwa juni 18 dhidi ya Manchester city.
Vyanzo vya kuaminika ktoka yanga vimeweka bayana ju kuondoka kwake ingawa bado aijatajwa dau la usajir wake.
18/05/2025
Duru mbalii mbali za habar zimeripoti juu ya fainali ya pili ya shirikisho Caf kati ya Simba na RS berkane kupigwa uwanja wa amaani complex.
Mapema leo kpitia mtandao wa Instagram Rais wa heshima wa klabu iyo ameonekana akiposti picha hii ya uwanja wa amaani wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 12000 tofauti na Benjamin mkapa wenye idadi ya mashabiki elf 60.
27/01/2025
Weka silaha chini uko chini ya ulinzi 🤣 # Osman &Afrcon is loading
26/11/2024
Sio sura ngeni hapa mjini labda kwa wale ambao ni wageni kidogo, Amekua na kiwango kizuri sana pale tabora United huenda huduma yake ikaitajika na vilabu vingine vikubwa.
24/11/2024
Johnasan sow mshambuliaji anae husishwa kujiunga na dar yanga Africans na singida black stars zote zinashiriki NBC primer league
Sow huenda akatua dirisha dogo Nchini baada ya kuhusishwa Mara kadhaa na vilabu vya Tanzania akiwa anahudumu kwenye klabu yake ya al Nasir Benghazi ya Libya ambayo awali iliripotiwa kukubari ofa ya USD $220,000 kutoka kwa singida black stars.