Kinole Soccer Accademy

Kinole Soccer Accademy

Share

Kinole soccer accademy ni kituo Cha kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana chini ya umri was miaka 17

16/10/2024

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Selemani Mwinyi, Ally Hatibu, Aisha Mkasi, Hamza Qudra, Martha Samwel

07/06/2024

Tarehe 6/7/ mwaka huu ndio itakuwa siku ya kujaza fomu Kwa vijana ambao wanaohitaji kujiunga na kituo chetu cha kukuza vipaji vya mpira wa miguu

19/05/2024

Wana kinole na Morogoro kwa ujumla kaeni mkao wa kuipokea timu ya vijana wenu.

19/05/2024

Baada ya ukimya wa muda mrefu siku si nyingi tunarudi na nguvu mpya

16/09/2021

Kinole soccer accademy

23/06/2021

Vijana wa Kinole Soccer Accademy wanataka support zenu wadau

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kinole
Morogoro