12/05/2026
Taarifa zinaeleza kuwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limevifungia vilabu (7) kutokea nchini Tanzania kutosajili.
Klabu ya Yanga na Fountain Gate zimefungiwa kusajili kwa muda usio na kikomo hadi pale watakapokidhi vigezo ambavyo vilisababisha kufungiwa.
Aidha, vilabu vingine (5) vya Dodoma Jiji,TRA United,Pamba Jiji,Kengold na Big man FC zimefungiwa kwa madirisha (3) ya Usajili.
12/05/2026
ππππππ: πππππ ππππππππ πππππππππππ ππ πππππ ππ!
Chanzo chetu kimeiambia kuwa kiungo wa Azam FC, James Akaminko, anatajwa kuingia kwenye rada za Simba SC kuelekea dirisha lijalo la usajili.
Taarifa zinaeleza kuwa Simba inaendelea kufanya tathmini ya kuongeza nguvu eneo la kiungo, huku jina la Akaminko likipewa uzito kutokana na uzoefu wake na uwezo wa kucheza nafasi tofauti katikati ya uwanja.
Hata hivyo, bado hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na pande zote mbili kuhusu hatma ya kiungo huyo, lakini mvutano wa usajili unaonekana kuanza mapema kabla ya msimu mpya.
11/05/2026
πππ πππππππ
πππππππ πππππ πππππ! πΉπΏ
Klabu ya Young Africans S.C. inaendelea kufanya tathmini ya benchi la ufundi huku jina la Khalil Ben Youssef likitajwa kupewa uzito mkubwa ndani ya klabu hiyo.
Taarifa zinaeleza kuwa tayari mazungumzo ya awali yameanza kwa lengo la kumleta kocha huyo kuiongoza timu k**a mkuu wa benchi la ufundi kuelekea msimu ujao.
Ben Youssef aliwahi kufanya kazi chini ya Nasreddine Nabi katika benchi la Kaizer Chiefs F.C.
Je, huyu ndiye chaguo sahihi kwa mabingwa wa Tanzania Yanga? π€
11/05/2026
TARRYN ALLARAKHIA APANDA LEAGUE TWO! πΉπΏ
Winga wa Kimataifa wa Tanzania, Tarryn Allarakhia ameandika historia mpya baada ya kuisaidia klabu ya AFC Fylde kupanda daraja kutoka National League kwenda EFL League Two kufuatia ushindi wao kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Boreham Wood F.C..
Hatua hiyo inamaanisha kuwa Tarryn sasa atacheza League Two sambamba na Mtanzania mwenzie Haji Mnoga anayekipiga nchini England.
Hongera kwa kijana wetu kuendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa!
11/05/2026
Umeishia Darasa la saba, Kidato cha pili au Kidato cha nne? Na
Unatafuta chuo bora kinachotoa kozi za muda mfupi na muda mrefu na zenye soko mtaani pia kwa Gharama nafuu Sana? K**a ndio basi π
KARIBU CHUO CHA VICTORY 0774028812 Kilichopo morogoro Mjini Kwani kinatoa kozi zifuatazo π
π SHORT COURSES (MIEZI 3 TU)
βοΈ Makeup & SPA
βοΈ Ususi (Salon)
βοΈ Mapishi (Cooking)
βοΈ Mapishi ya keki na mapambo π
βοΈ S.P.A
βοΈ Computer (Basic)
βοΈ ICT
βοΈ Udereva
βοΈ Ufundi chelehani (kushona nguo aina zote?
βοΈ
π° ADA: Tsh 150,000 tu kwa miezi 3
π LONG COURSES (UFUNDI NA UTAALAMU ZAIDI)
βοΈ Video Production & Camera
βοΈ Umeme wa majumbani
βοΈ Usekretari
βοΈ Ufundi magari
βοΈ Umeme wa magari
βοΈ Ufundi wa vifaa vya umeme (Simu & Laptop)
βοΈ Aluminium
βοΈ Hotel Management
βοΈ Ufundi bomba
βοΈ Kuchomelea (Welding)
βοΈ Ualimu wa watoto na malezi
βοΈ Kufunga CCTV Camera
π₯ OFa MAALUM:
π Ukichukua kozi moja, unapewa nyingine BURE!
π HOSTEL zipo β salama na nafuu kwa wanaotoka mbali
Wasiliana nasi sasa: 0774028812
11/05/2026
Je umeishia Darasa la saba, Kidato cha pili au Kidato cha nne? Na
Unatafuta chuo bora kinachotoa kozi za muda mfupi na muda mrefu na zenye soko mtaani pia kwa Gharama nafuu Sana? K**a ndio basi π
KARIBU CHUO CHA VICTORY 0774028812 Kilichopo morogoro Mjini Kwani kinatoa kozi zifuatazo π
π SHORT COURSES (MIEZI 3 TU)
βοΈ Makeup & SPA
βοΈ Ususi (Salon)
βοΈ Mapishi (Cooking)
βοΈ Mapishi ya keki na mapambo π
βοΈ S.P.A
βοΈ Computer (Basic)
βοΈ ICT
βοΈ Udereva
βοΈ Ufundi chelehani (kushona nguo aina zote?
βοΈ
π° ADA: Tsh 150,000 tu kwa miezi 3
π LONG COURSES (UFUNDI NA UTAALAMU ZAIDI)
βοΈ Video Production & Camera
βοΈ Umeme wa majumbani
βοΈ Usekretari
βοΈ Ufundi magari
βοΈ Umeme wa magari
βοΈ Ufundi wa vifaa vya umeme (Simu & Laptop)
βοΈ Aluminium
βοΈ Hotel Management
βοΈ Ufundi bomba
βοΈ Kuchomelea (Welding)
βοΈ Ualimu wa watoto na malezi
βοΈ Kufunga CCTV Camera
π₯ OFa MAALUM:
π Ukichukua kozi moja, unapewa nyingine BURE!
π HOSTEL zipo β salama na nafuu kwa wanaotoka mbali
Wasiliana nasi sasa: 0774028812
11/05/2026
JE, NI SAHIHI YANGA KUCHANGISHA MASHABIKI KWA KOSA LAO?
Baadhi ya mashabiki wameibua mjadala mkubwa baada ya klabu ya Young Africans S.C. kuanza kuchangisha fedha kufuatia adhabu na changamoto zilizotokana na maamuzi yanayoelezwa kuwa ya kimakusudi kutoka ndani ya klabu hiyo.
Wapo wanaoamini kuwa mashabiki ndiyo nguvu ya timu hivyo ni kawaida kusaidia wakati wa matatizo, huku wengine wakidai si sahihi mzigo wa makosa ya viongozi au maamuzi ya klabu kubebwa na mashabiki wa kawaida.
Je, wewe unaona ni sahihi mashabiki kuchangishwa kwa kosa ambalo halikuepukika kwa uongozi?
11/05/2026
Pyramids FC wamefanikiwa kubeba ubingwa wa Egypt FA Cup baada ya kuifunga ZED FC mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliochezwa Misri πͺπ¬
Mshambuliaji Fiston Mayele alikuwa nyota wa mchezo baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 57 na kuisaidia timu yake kutwaa taji hilo kwa mara ya pili.
FT: ZED FC 1-2 Pyramids FC
β½ Karim Hafez (P)
β½ Mayele
β½ Rafaat Khalil
Neno moja kwa Mayele
10/05/2026
FT
Simba SC 4οΈβ£ Tanzania Prisons 0οΈβ£
10/05/2026
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza rasmi nchi 12 zitakazopata nafasi nne za uwakilishi katika mashindano ya vilabu Afrika kwa msimu ujao, hatua inayodhihirisha kuongezeka kwa ushindani wa soka la vilabu barani Afrika.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kila taifa lililochaguliwa litapeleka timu mbili katika michuano ya CAF Champions League pamoja na timu mbili kwenye CAF Confederation Cup. Tanzania imefanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo kutokana na mwenendo mzuri wa vilabu vyake katika mashindano ya CAF katika misimu ya hivi karibuni.
Mataifa mengine yaliyopata nafasi hizo ni Algeria, Angola, CΓ΄te dβIvoire, DR Congo, Egypt, Mali, Morocco, Nigeria, South Africa, Sudan na Tunisia.
Mafanikio hayo yanaonyesha namna soka la Tanzania linavyoendelea kukua na kupata heshima kubwa katika anga la kimataifa, huku vilabu vya nchi hiyo vikiongeza ushindani dhidi ya mataifa yenye historia kubwa ya soka Afrika. Hatua hiyo pia inatarajiwa kuongeza ari kwa vilabu vya Tanzania kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya kimataifa msimu ujao.
10/05/2026
Anaandika baada ya klabu ya Simba kupewa tuzo ya Klabu Bora ya Wanaume katika Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) 2025 zilizofanyika Jijini Dar es salaam,
"Kuna Timu haina Kombe lolote la Maana kwa kipindi cha Miaka mitano Lakini imepewa Tuzo ya Timu Bora ya Mwaka
Hizi ni PROPAGANDA
Je nini maoni yako mdau wa michezo?