16/10/2022
Wanajoga
Mazoezi ni Afya
Hudumisha upendo na Amani.
Kichangani Family Jogging Club. Ni club ya Mazoezi. Iliyopo Mkoni Morogoro, Wilaya ya Moro Mjini.
16/10/2022
Wanajoga
Mazoezi ni Afya
Hudumisha upendo na Amani.
16/10/2022
Tunawaheshimu sana walituheshimisha Amani Fitnes
Ni mashikaji zetu aisee.
Kichangani Family Jogging Club.
Inapatikana Mkoani Morogoro,
Wilaya ya Morogoro Mjini,
Kata ya Kichangani,
Mtaa wa Area Five.
Mazoezi ni kila siku ya
Jumatatu hadi Ijumaa
Jumamosi inategemea na ratiba ya shirikisho.
16/10/2022
Mazoezi kwa Afya.
Njoo tufanye Mazoezi.