02/09/2026
Mtibwa sugar SC
Football club based in Tanzania
02/09/2026
02/09/2026
Heri ya siku ya kuzaliwa msemaji wetu Thobias Kifaru πππ
02/09/2026
Tumefanikiwa kuinasa saini ya Issa Abushehe kutoka Polisi Tanzania.
Rasmi sasa atatutumikia wakata miwa msimu mpya.
02/09/2026
Rasmi Peter Manyika Peter ni mkulima wa miwa πππ
amejiunga nasi akitokea Mbuni FC.
01/09/2026
OUR 2026-27 FIXTURES πππ
26/08/2026
Tumemuongeza kikosini kiungo mshambuliaji Best Kaemela kutoka Mbuni FC.
Karibu nyumba ya vipaji πππ
26/08/2026
Rasmi mlinzi wa kati Justine Omar amejiunga na familia ya mabingwa. Justine amejiunga na Mtibwa Sugar akitokea Pamba jiji.
Karibu Mtibwa Sugar
πππ
24/08/2026
Rasmi Shaban Ada ni mkulima wa miwa ya Manungu.
Karibu nyumba ya vipaji
Ni Issa Rashid Issa tena na Kona Goli.
Issa Rashidy
Issa Rashid πππ
1.
2.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Address
Turiani
Morogoro
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 14:00 |