Kassim Mgwami KD

Kassim Mgwami KD

Share

wasiliana nami KD kupitia WhatsApp 0755733099 au [email protected]

12/05/2026

Tifua tifua msifurahie kuwapiga wananchi faini ya milioni 30 kwa kukataa kuingia kwenye dressing room ya shamba la mpunga la Mbweni na kwenda kwenye jumba la maajabu,mjiulize kwanini Yanga waliamua kufanya hivyo,na kwanini Makolo waling'ang'ania kucheza mechi hiyo ya derby kwenye uwanja huo usiokuwa na hadhi ya derby na sio kawaida yao kwenye mechi za derby?,Yanga ina kitengo cha ujasusi (intelligence unit)imara na makini sana, walishang'amua mtego wa moshi wa dawa ya mbu.Yanga daima mbele nyuma mwiko,kila mtu ashinde mechi zake.

12/05/2026

Wenye nchi ni wananchi ibara ya 8 ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 k**a ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara,hivyo basi mjenga nchi ni mwananchi,na ndio maana wananchi wako pamoja na viongozi na wachezaji wao kuhakikisha Yanga wanakamilisha jambo lao la kuchukua ubingwa wa NBC Premier league kwa mara ya tano mfululizo.Kila mtu ashinde mechi zake.Yanga wataendelea kuchanga mpaka kieleweke.Yanga daima mbele nyuma mwiko,kazi iendelee.

12/05/2026

Kwa hii tifuatifua na bodi yake ya ligi,hakuna haki wala usawa mbele ya sheria,hivyo basi viongozi na wachezaji wa Yanga kuweni makini nje na ndani ya uwanja,msiingie kizembe kwenye kumi 18 zao, fanyeni jihadi ya soka kwa umakini mkubwa kwa ajili ya Yanga, kwa kuchukua pro-active measures ili kukabiliana na hujuma zao,vile vile tuendelee na kauli mbiu ya "kila mtu ashinde mechi zake".Yanga daima mbele nyuma mwiko.

12/05/2026

Ukimkuta kolo anagombana na nyoka,mwananchi msaidie nyoka.Kuanzia sasa Yanga mbele kwa mbele mpaka kieleweke.

12/05/2026

Mashabiki wa Yanga kuichangia timu yao sh.milioni 31 za faini ya dhuluma nyinyi makolo na wachambuzi wenu uchwara inawauma nini ,kwani ela zenu hizo?,na tutaendelea kuchanga sana,hata sh.bilioni 100,k**a hamtaki acheni uonevu na hujuma za kishamba.Yanga daima mbele nyuma mwikoooooo.mlifikiri tutanyamaza,hatupoi mpaka kieleweke.

12/05/2026

Mashabiki wa Yanga maokoto yao kwa mchezaji aliye-perform vizuri baada ya mechi husika ni zaidi ya sh.milioni moja,makolo wao maokoto yao kwa Kibabage baada kucheza vizuri kwenye mechi fulani yalikua buku 4 tu,hiyo ndiyo tofauti ya mashabiki wa Yanga na makolo.Yanga daima mbele nyuma mwikoooooo.Jumba la maajabu lidumu mileleeeee,sasa Damaro Fc wanatoa sauti za mbwambwambwaaaaa,mbwimbwimbwiiiiiiiiii uku wakiendelea na kiitikio cha tuki....na waki........

12/05/2026

Kwenye tuzo ya makolo,BMT wamejidhalilisha sana,hakuna utetezi hapo,timu bora ya msimu uliopita ni Yanga aliyechukua vikombe vyote vya Tanzania na kucheza makundi ya CAF Champions League na kushika nafasi ya tatu kwenye kundi lake,pia ieleweke kombe la shirikisho barani Afrika ni dogo kwa kombe la champions league,sasa ukijumlisha vigezo hivyo vyote ndani na nje kwa pamoja Yanga ndio timu bora Tanzania kwa msimu uliopita 2024/2025 hakuna ubishi hata mtoto wa chekechea analijua hilo.Makolo wameishia fainali katika mashindano madogo ya Afrika bila kuchukua kikombe na huku nchini hawajachukua kombe lolote kwenye mashindano makubwa manne ya Tanzania,hivyo basi makolo wamebebwa kizembe sana,labda hiyo tuzo ibadilishwe jina iitwe tuzo ya timu bora iliyofanya vizuri kwenye kombe la Shirikisho Afrika.

12/05/2026

Makolo na Tifuatifua wana mpango wa pamoja wa kuihujumu Yanga isichukue kombe kwa mara ya tano mfululizo ili wajenge uhalali wa tuzo feki ya timu bora waliowapa makolo,sasa wananchi tuisaidie klabu yetu na viongozi wetu kwa hali na mali kishundu kwa kishundu mpaka watoe milio ya mbwiiiiiiiiimbwaaaaaaa.

12/05/2026

Jumba la maajabu oyeeeeeee.Jumba la maajabu liliwaokoa wananchi kwenye moshi wa dawa ya mbu ndani ya vyumba vya shamba la mpunga.Kila mtu ashinde mechi zake.Yanga daima mbele nyuma mwiko.

11/05/2026

Timu bora ya mwaka 2025 bila hata kombe la mbuzi,hiyo ni timu bora au bora timu, maana wakati Yanga ilipochukua tuzo hiyo kwa mara ya mwisho ilikua bingwa wa makombe yote ya Tanzania na pia ilicheza fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kiume dhidi ya USM Alger ya Algeria,sasa hawa makolo wamepewa kwa vigezo vipi k**a sio mbeleko hiyo.Yanga daima mbele, nyuma mwikoooooo.

11/05/2026

Yanga bingwa tena,nani anabisha?,labda makolo tu na ndoto zao za wakati wa kiangazi,uku wakijipa matumaini,wakiendelea kumeza ERV yao ya "tuki na waki".Sisi wananchi tunasemaje?, kila mtu ashinde mechi zake.Yanga daima mbele, nyuma mwikoooooo.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kidatu, Kilombero
Morogoro