Subo Sports

Subo Sports

Share

Work hard Earn More! @Subo Sports

16/12/2023

USAJILI MPYA YANGA DIRISHA DOGO,,πŸ’›πŸ’š Big Yes or No...??

16/12/2023

DEAL DONE βœ… YANGA SHEKHAN IBRAHIM

08/12/2023

KIKOSI CHA YANGA V'S MEDEAMA LEO...

18/11/2023

... 🚨 | π—π—˜π—”π—‘ π—•π—”π—Ÿπ—˜π—žπ—˜

Mshambuliaji, Jean Baleke anamaliza mkataba wake wa mkopo wa mwaka mmoja ndani ya Simba SC December 2023.

Baleke (24) anamkataba hadi 2026 na klabu ya TP Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©, klabu hiyo inataka kumrejesha katika kikosi chao.

Simba SC wako kwenye mazungumzo na TP Mazembe πŸ‡¨πŸ‡© wakihitaji kumnunua moja kwa moja. Bado hakuna muafaka.

18/11/2023

Msauzi wa Yanga balaa! Video Analyst Msaidizi wananchi wanautaka ubingwa CAFCL

17/11/2023

TOP 5 AFRICA...

Photos from Subo Sports's post 16/11/2023

π—˜π—‘π—π—’π—¬ 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—‘π—–π—›π—œπ—œπ—œπ—œ DEAL DONE βœ…βœ…βœ…

Tambeni,,vimbeni Wananchi rais Eng Hersi Ally Said kashamaliza kazi leo.Dirisha dogo hili tunashusha mshambuliaji hatari tumevunja mkataba na wala sio free agent K**a yule MVP wa Rwanda msimu uliopita

✊ page hii uwe wa Kwanza Kupata habari zote za Usajili...deal βœ…βœ…βœ…

Photos from Subo Sports's post 16/11/2023

π—žπ—¨π—§π—’π—žπ—” π—œπ—™π—™π—›π—¦

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.

10 bora Afrika ipo hivi;

1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga SC
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance's

16/11/2023

GOLIKIPA PEKEE ALIYESALIA AVIC TOWN


K**a Ilivyo Kwa Makipa wao wote watatu wapo kwenye majukumu ya Timu zao za TAIFA, Mdaka Mishale Yupo Mali na Mshery,Metacha Taifa stars huyu πŸ‘‡πŸ‘‡ ndio Kipa ALIYESALIA pale AVIC Akitokea Burundi Na Aliomba kufanya mazoezi na yanga..

sio Usajili anajinoa tuu pale Jangwani

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Morogoro