11/12/2025
Mzigo umefika wa kutosha....!
Kila mmoja atapendeza na jezi zetu πππ
Jezi za Mtibwa Sugar sasa zinapatikana:-
1. Mtes Movies (Madizini, Turiani)
2. Dullah Sports Wear (Masika, Moro)
3. Mikocheni, Dar es Salaam.
Kwa wale wa bei ya jumla piga simu au whatsapp namba +255713218555
21/09/2025
MATCHDAY.
π mashujaa v Mtibwa sugar SC
π Sunday 21st Sept. 2025
β± 16:00 EAT.
π Lake Tanganyika, Kigoma.
π
#οΈβ£
01/09/2025
HELLO Turiani ΡΟΡΡΡ Π½ΟΠΌΡ UTAM KOLEA SEPTEMBA KOLEA
07/12/2024
Mwalimu Awadh Juma (Maniche) ameshinda tuzo ya mwalimu bora kwa mwezi Novemba katika ligi ya
Hongera Mwalimu.
26/11/2024
Next match on 30 Nov 2024. Kick off 1600 HRS .Shekh Amri Abeid Memorial Stadium Arusha.
25/11/2024
Tulieni.....!!!!! π₯π₯π₯πͺπͺπͺπͺ
24/11/2024
Michezo SITA (6) ya mwisho Mtibwa sugar SC iliyocheza ushindi mitatu (3) sare miwili (2) kupoteza MMOJA (1)
24/11/2024
Msimamo baada ya michezo ya jana jumamosi
23/11/2024
Dozi Kwa Mstari Point tatu na goli mbili dhidi ya Moja la mpinzani wetu. π₯π₯π₯π₯ Utamu unaendele kukolea.
Mtibwa sugar SC