UHURU Rangers

UHURU Rangers

Share

yy

31/05/2024

kiungo wa AS MONACO kutoka mali mohamed camara ameadhibiwa na chama cha mpira cha ufaransa kwa kosa la kuziba nembo inayo suport ushoga..... allah atamlipa in sha allah..

Photos from UHURU Rangers's post 04/07/2021

Tarehe 03.07.2021 UHURU Rangers imepata msiba kwa kuondokewa na mchezaji wake SHABANI RAMADHAN KWASA au SHEKI R k**a wengi wanavyomuita kilichotokea alfajir ya siku iyo na kuzikwa kwenye makabuli yao ya kinguluwila saa 9 alasir ya siku iyo iyo. Sheki alikuwa anamudu nafasi wa beki wa kati na alikuwepo kwenye kikosa kilichokua ubingwa wa wilaya ya morogoro mjin 2011/2012. Timu inafoa pole kwa familia ,ndg jamaa na marafiki ktk kipindi hiki kigumu cha maombelezo ina lillah wa ina lillah la hajuun

Photos from UHURU Rangers's post 04/07/2021

Kwa masitiko makubwa timu imetangaza kifo cha aliyekuwa mchezaji wetu SHABAN RAMADHANI KWASA, A.K.A SHEKI R. tarehe 3.06.2021 aliyefariki ghafla asubuhi ya tarehe iyo. Shabani aliyedumu nafasi ya beki wa kati wakati akiwa anacheza amezikwa kwenye makabuli ya familia ya kwao kingoluwilwa. Timu inatoa pole kwa famili, ndg jamaa na marafiki kwa msiba uliowapata ,,, ina lilah wa lillah la hajuun,

02/07/2021

Kwa masitiko makubwa timu imetangaza msiba wa mchezaji mwandamizi wa club hii FADHILI ABDALAH KONDO almaarufu FAKO, FAKO alifariki tarehe 27.06.2021 na kuzikwa 28.06.2021, ina lallah wa ina lillah la haajuun. Tunaipa pole familia ya MZEE KONDO kwa kipindi iki kigumu wanachopitia

17/02/2021

TIMU IMETANGAZA KIFO CHA KATI YA WAANZILISHI WAKE WA UHURU RANGERS MOGEKA MANYANGA KILICHOTOKEA ARUSHA USIKU WAKUAMKIA TAREHE 13/02/2021 MKOA WA ARUSHA NA KUZIKWA TAREHE 16/02/2021 MAKABULI YA KOLA MOROGORO,,,, mungu ampe kaulidhabiti

Photos 03/08/2016

tunashukulu tumepokea zawadi ya mpira kutoka kwa ndugu yetu@ jamily

Photos from UHURU Rangers's post 20/11/2015

BAADA YA KUCHEZA MECHI YETU YA KWANZA NA KAIZER NA KUFUNGWA 3-1 KESHO TENA TUPO UWANJANI NA MAWENZI SAA 8:00 MCHANA

17/11/2015

MECHI YA KWANZA YA MSIMU

UHURU RANGERS VS KAIZER CHIEF

UWANJA =SABASABA

MUDA= SAA 8:00 MCHANA

karibuni wadau tuipe sapoti timu

13/11/2015

KUJIANDAA NA MECHI YETU YA LIGI DARAJA LA TATU MKOA TUTAKUWA NA MECHI YA KIRAFIKI NA ANGRICANA KESHO JUMAPILI UWANJA WA KIKUNDI SAA 10;OO JIONI

Photos from UHURU Rangers's post 09/11/2015

siku k**a ya leo kazaliwa golikipa wetu ISIAKA BENE

09/11/2015

HABARI

LEO MAZOEZI KWA AJILI YA KUANZA MSIMU WA 2015/2016 KUANZIA SAA 10:00 JIONI UWANJA WA KIKUNDI

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Morogoro