Mtibwa Sugar sc Fan's

Mtibwa Sugar  sc Fan's

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtibwa Sugar sc Fan's, Amateur Sports Team, Turiani, Morogoro.

26/05/2024

Hivi unauhakika kweli hatuwezi kukata rufaa?

Au tuende ICC?

25/05/2024

Sijaelewa

21/08/2023

Ikitokea ligi inamalizwa leo wale wa Matopeni itawabidi wapige Play Of

20/08/2023

FULL-TIME.



20/08/2023

MATCHDAY.
🆚
🗓 Sunday 20th Aug 2023
⏱ 14:00 EAT.
🏟 Manungu, Turiani.
🏆
#️⃣

20/08/2023

Endelea kutumia sukari halisi ya miwa kutoka Mtibwa Sugar kwa afya bora ya Familia yako.


19/08/2023

Hawa watoto wa kitanga tunajua hawajakomaa Bado ila sisi tutawala na chumvi, Hata waje na Mwakinyo wamchukue na Mgunda

18/08/2023

Mchezo wetu wa unaofuata wa ligi kuu ya NBC tunacheza dhidi ya jumapili ya tarehe 20 saa 8:00 mchana (14:00) nyumbani kwetu MANUNGU.



18/08/2023

Namtafuta aliepanga hizi karoti aje anipangie Safu ya Ushambuliaji NBCPL, Msimu huu ubingwa ni wetu Wakata miwa

17/08/2023

Saa kwanini alikua anaudaka mpira kila tukilenga goli?

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Turiani
Morogoro