17/06/2022
Wakati Simba Sc wakitambulisha A.K.A ya Mshambuliaji wao mpya MOSES MAGOLI, Wananchi nao hawakubaki nyuma👉👇
Kwa habari za michezo, Taarifa za usajiri, Ratiba za mechi & matokeo ya ligi zote duniani.
17/06/2022
Wakati Simba Sc wakitambulisha A.K.A ya Mshambuliaji wao mpya MOSES MAGOLI, Wananchi nao hawakubaki nyuma👉👇
15/06/2022
Jisomee vichwa vya habari vya magazeti leo jumatano
14/06/2022
Taarifa kuelekea katika mchezo dhidi ya Coastal Union.
👇👇
KUPATA taarifa zaidi za michezo, matokeo ya ligi zote duniani, taarifa za usajiri endelea kutufollow
🙏🙏
14/06/2022
Dare to Dream!!.
Wazungu huwa wanasema, hukatazwi kuota, hukatazwi kuwaza jambo kubwa kwa picha kubwa
Kwa kuwa washindi huwaza kwa picha kubwa.
Usiogope kuota, ukiamka osha miguu anza kuikimbilia ndoto yako.
14/06/2022
Kwa huyu mwamba imeisha. Tusubili msimu mpya uanza tukiwa na safu mpya ya ushambuliaji🖐️
Kwa updates za michezo, matokeo ya soka ligi zote endelea kutufollow👎👎
👉Mo Manta👈
manta