04/11/2020
SHUKURANI SANA🙏
Sauti ya Radi :
kwenye kikao na Crew ya Sport .1 MWANZA
KARIBU SANA MWAMBA
sports conner and updates on daily news!
04/11/2020
SHUKURANI SANA🙏
Sauti ya Radi :
kwenye kikao na Crew ya Sport .1 MWANZA
KARIBU SANA MWAMBA
14/10/2020
TANZANIA🇹🇿
Klabu ya Ihefu SC imemteua Jackson Mayanja kuwa kocha mkuu wa timu hiyo
14/10/2020
Wakati mwingine mtu tunayempinga huwa ana makosa, lakini hoja tunazozitoa ni za kinafsi na hazihusiani na hoja zake. Nikisema mbili na tatu ni sita, nakosa. Lakini ni bora kunionyesha kuwa pengine nafikiri tunazidisha kumbe tunajumlisha. Ni kweli mbili mara tatu ni sita, lakini mbili na tatu ni tano, siyo sita. Ukikataa mawazo ya mtu na kushawishi wengine wakubali yako kwa kusema kuwa meno yake ni machafu, utakuwa unatumia hoja ambayo haina maana. - Mwalimu JKN, Tujisahihishe, 1962
13/10/2020
NYERERE DAY 14 OCT:
"Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka walikuwa wakiniambia: 'Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila wewe'. Nami niliiendelea hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa waliyoiongelea ni familia zao, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika k**a Rais ajaye atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo." - Mwalimu Julisu Kambarage Nyerere
13/10/2020