Michezo Online

Michezo Online

Share

Simba super cup ni mashindano yatakayo wakutanisha wababe wa soka k**a TP mazembe,Aly Ahally ,AS Vit Dodoma

28/04/2023

πŸ”’ Kikosi chetu πŸ†š Wydad AC.



17/02/2023

yeeeessssss Super League πŸ†πŸ”₯!!

Timu Nane kutoka Mataifa tofauti zitashiriki michuano Africa Super League ambayo itaanza mwezi August mwaka huuu .

Michuano hii ambayo imekuwa ikipingwa na baadhi ya Klabu za Soka hapa Afrika kwamba itaua ubora wa CAF Champions league & CAF Confederation Cup baadhi ya timu hizi ni Kaizer Chiefs,Raja Club Athletic Casablanca, Orlando Pirates, Zamalek na nyingine nyingi zinaamini hakuna Haja ya kuanzisha michuano mingine .

Hoja Yao kubwa wanataka pesa hizi zingeboresha CAF Champions league & CAF Confederation Cup Ili ivutie zaidi .

😁Hawa jamaa wanaopinga k**a Wana fact ivi CAF wasipokuwa makini hii michuano Yao itakosa mvuto kwani Kuna timu kibao zenye wafuasi wengi zinapinga ujio wa Super League πŸ†βŒπŸ˜.

😁😁 Africa 🌍 Kuna watu wanafiki sana walipinga sana ujio wa Super League ya Ulaya wakasema itaua UEFA Champions league ....harafu hao hao wakaipokea Kwa mikono miwili Africa Super League wakisema itanyanyua Soka la Afrika πŸ˜πŸ˜πŸƒhuu ni wizi mtupu ...kwaio Champions league haifi huku ???

Lengo la Caf ilikuwa ni kupata Klabu za Soka tatu Kwa Mataifa 16 ambayo Yana vigezo vya timu zao kushiriki Africa Super League.

Timu (8) zitakazo shiriki msimu ujao 2023-24 πŸ‘‡:

πŸŽ΅πŸƒπŸ˜Hapa ndugu zangu wa bwawani mjiandae kupigiwa kelele Hadi mjifiche kwenye vidimbwi πŸ˜πŸƒπŸŽ΅

πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mamelodi Sundowns
πŸ‡¦πŸ‡΄ Petro de Luanda
πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe
πŸ‡¬πŸ‡³ Horoya Athletic Club
πŸ‡²πŸ‡¦ Wydad
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba
πŸ‡ΉπŸ‡³ EspΓ©rance
πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Ahly



17/02/2023

Ligi ya mabingwa Africa

17/02/2023

Kesho kwa mkapa kunamtu Atakalishwa Je! Nisimba Ama RajaCa ?

Photos 16/08/2022

Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi
Tanzania FC

Photos 15/08/2022

β€˜β€™Najua kulikuwa na utabiri kwamba
hatungefika hapa - lakini kwa sababu
kuna Mungu mbinguni, tuko hapa - Ruto
azungumza punde tu baada ya
kutangazwa mshindi

Photos 13/08/2022

Simba wameshindwa kutamba mbele ya young Africa na kukubal 2_1 na kuibuka bingwa wa nga'ao ya jamii

Photos 13/08/2022

Vikos vyote vya timu mbili DABY young Africa vs Simba sc kwenye muchezo wa nga'o ya jamii muchezo utakao anza majila ya saa 19;00 Jion

Photos 13/08/2022

KIUNGO mpya wa Simba,
Nelson Okwa amewaambia
Yanga, β€œbado nyie.” Staa hu
ametuma salamu kwa watan
zao akisema kile
alichoonyesha kwenye kilele cha tamasha la Simba Day j
Jumatatu ni mfano tu. Katika tamasha hilo, Simba
ilicheza mchezo wa kirafiki
kimataifa dhidi ya mabingwa
wa Ligi Kuu ya Ethiopia, St
George ambapo ilishinda
mabao 2-0 huku moja likifungwa na nyota huyo rai
wa Nigeria. Katika mchezo huo uliochez
Uwanja wa Mkapa, Okwa
alionyesha kiwango bora ha
mikimbio na pasi za haraka
haraka. Simba na Yanga zitakutana
katika mchezo wa Ngao ya
Jamii utakaochezwa Jumam
hii katika Uwanja wa Mkapa
ambapo ni lazima timu moja
ishinde ili apatikane bingwa mechi hiyo ya ufunguzi wa L
Kuu Bara itakayoanza rasmi
Agosti 15, mwaka huu. Akizungumza na Mwanaspot
Okwa alisema: β€œNilichoonye
ni mfano tu kwa mashabiki
Simba. Nadhani nitakuwa
kwenye kiwango bora muda
mrefu ligi ikianza hadi mwis wa msimu,” alisema Okwa
ambaye ameonyesha ana kit
mguuni kwake kitakachoisai
Simba inayoanzia hatua ya
kwanza ya Ligi ya Mabingwa
Afrika. Wachezaji wengine waliosajiliwa Simba ni Nass
Kapama, Habibu Kyombo,
Agustine Okrah, Victor Akpa
Moses Phiri, Mohamed Outt
na Dejan Georgijevic.

Photos 26/10/2021

TETESI ZA SOKA
Klabu ya MANCHESTER UNITED
wanafikilia kumfuta kazi OLE GUNNAR
SORJ ili waweze kumwajili kocha
mwingine.
Kwa mjibu wa SAMUEL LUCKHURST

Photos 26/10/2021

-Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba
imeridhia kufutwa kazi kwa kocha mkuu
wa klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa
kutokana na kushindwa kuisaidia klabu
hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa
Afrika (CAF Champion League) kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Hitimana
Thierry k**a kocha mkuu.

Photos 25/10/2021

Tunafurahi pamoja tunaumia pamoja.
Pamoja tunasonga mbele tukiamini yajayo ni mazuri zaidi kwetu

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Lubhura
Mwanza
MABATINI