BBC News, SwahiliRuka hadi maelezo
Yaliyomo
Habari
Michezo
Video
Vipindi vya Redio

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 12.01.2021: Caicedo, Militao, Winks, Gonzalez, Dembele, Buendia, Kenny
12 Januari 2021, 07:02 EAT
Imeboreshwa Saa 5 zilizopita

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Tottenham huenda ikamsajili beki mwenye umri wa miaka 22 raia wa Brazil Eder Militao
Tottenham huenda ikamsajili beki mwenye umri wa miaka 22 raia wa Brazil Eder Militao - anayesakwa na Roma, AC Milan na Inter - kwa mkopo kutoka Real Madrid ikiwa na mbadala wa kumnunua kwa mkataba wa kudumu. (Corriere dello Sport - in Italian)
Klabu ya Jose Mourinho Tottenham Hotspurs imejiunga na Leeds na Juventus katika kumsaka winga wa klabu ya Stuttgart Nicolas Gonzalez, 22, huku mchezaji huyo wa Argentina akilengwa katika dirisha la uhamisho la majira ya joto. (The Athletic - subscription required)
Huenda pia kuna uhamisho mwengine kutoka Tottenham huku Valencia ikiwa na hamu ya kumsajili kiungo wa kati wa Spurs na England mwenye umri wa miaka 24 Harry Winks kwa mkopo . (Football London)

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Winga wa klabu ya Stuttgart Nicolas Gonzalez
Brighton wana imani wameishinda Newcastle United katika kumsaini kiungo wa kati wa Ecuado Moises Caicedo kutoka klabu ya Indipendiente del Valle. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 19 alikuwa akilengwa na klabu ya Man United(Talksport)
Kiungo wa kati wa Ufaransa na mshindi wa kombe la Dunia Steven N'Zonzi huenda mkataba wake wa mkopo katika klabu ya Rennes ukakatizwa baada ya kuhusishwa na uhamisho wa Arsenal na Everton . (Foot Mercato - in French)
Mshambuliaji wa Ufaransa na Lyon Moussa Dembele, 24, anakaribia uhamisho wa kuelekea Atletico Madrid baada ya kukataa uhamisho wa West Ham. (Telefoot via Sky Sports)

CHANZO CHA PICHA,SNS GROUP
Arsenal hailengi tena kumsajili kiungo wa kati wa Norwich Emi Buendia baada ya klabu hiyo kuweka dau la £40m kumuuza mchezaji huyo wa Argentine. (Express)
SMJ sports arena
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SMJ sports arena, Stadium, arena & sports venue, Mwanza.
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Mwanza