Yanga Fire

Yanga Fire

Share

Habari zote kuhusu timu ya wananchi Yanga Sc zinapatikana hapa, matokeo, ratiba na uchambuzi

Pia tupo instagram k**a @yangafire_

03/07/2025

Professor ..yupo sana jangwani

19/02/2023

Tukutane kwa mkapa wananchiπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

12/02/2023

Kikosi kinachoanza dhidi ya Us Monastir πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’šπŸ’›

12/02/2023

Leo tunakwenda kuwakilisha nchi ipasavyo..πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’›πŸ’š

10/02/2023

Sura za ushindi πŸ’ͺπŸ’ͺ

23/01/2023

Kikosi kinachoanza dhidi ya ruvu ...πŸ’ͺπŸ’ͺ

23/01/2023

Mida ya makolo kuumia imekaribia...atafungwa ruvu wataumia wao

20/01/2023

Up next

18/11/2022

Jana Yanga ilicheza mechi ya 47 mfululizo pasipo kupoteza katika ligi kuu ya NBC wakiichapa Singida Big Stars mabao 4-1 na kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi
Pamoja na kiwango bora kilichoonyeshwa na vijana wake, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema bado timu haijacheza katika ubora anaotaka
Nabi aliwapongeza wachezaji kwa ushindi mnono dhidi ya Singida Big Stars lakini akasisitiza bado kuna makosa wamekuwa wakifanya ambayo wanapaswa kurekebisha
"Tunapaswa kucheza mechi zote k**a fainali, tumefunga mabao manne lakini haimaanishi tumecheza vizuri sana. Ziko nyakati tulicheza vizuri lakini ziko nyakati hatukucheza vizuri, yapo maeneo ambayo tunapaswa kujirekebisha" alisema Nabi
Nae Kocha Mkuu wa Singida Big Stars Hans van der Pluijm alisema vijana wake hawakuwa na siku nzuri uwanjani na walizidiwa na wapinzani wao Yanga
Pluijm alisema matokeo hayo yanaakisi tofauti ya ubora wa vikosi kati ya timu yake na Yanga
"Tuliingia tukiwa na lengo la kutafuta alama tatu lakini mambo hayakwenda vile tulivyotarajia. Unapokutana na wachezaji bora halafu ukafanya makosa lazima utaadhibiwa"
"Naweza kusena hatukuwa na siku nzuri, nawapongeza Yanga kwa kupata ushindi"

18/11/2022

Kwenye Unbeaten 47 wauza poda wamechangia 3 singida wamechangia 1 tuu alaf bado unasema singida wabobu...poda siichezo

Kumbe ndo maana namuonaga kibu hayuko sawa...πŸ™‚πŸ™‚

10/11/2022

Hawa wote yule kipa wa Makolo anawaelewa vizuri.

Photos from Yanga Fire's post 10/11/2022

Hawa itakuwa ni watu wawili tofauti

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Mwanza
33110