Tanzania Sport Today

Tanzania Sport Today

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Sport Today, Sports Event, Nyegezi, Mwanza.

Photos from Tanzania Sport Today's post 26/06/2022

Mabingwa wa nchi Yanga .
Dar Es Salaam is green & Yellow πŸ’šπŸ’›

15/06/2022

🚨RASMI: Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² Mosess Phiri.

13/06/2022

RASMI : Klabu ya Al Ahly Sc imethibitisha kuachana na kocha wao mkuu Pitso Mosimane πŸ‡ΏπŸ‡¦

Takwimu zake akiwa na timu hiyo πŸ“Š

Mechi: 97
Kushinda: 65
Kupoteza: 10
Sare: 22

CAF Champions League πŸ†πŸ†
CAF Super Cup πŸ†πŸ†
Egypt Cup πŸ†
Fifa Medal Club World Cup medalπŸ₯‰πŸ₯‰

12/06/2022

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² Lazarus Kambole .

Kambole atajiunga na Yanga K**a Mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Kaizer Chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦.
Source"'Sport Center"'

31/05/2022

🚨Klabu ya Simba SC imeachana rasmi na kocha mkuu wa klabu hiyo Pablo Martin raia wa Hispania baada ya kushindwa kufikia malengo ya msimu huu (2021/22). Uongozi wa juu wa klabu hiyo tayari umempa taarifa ya kuvunja mkataba wake pamoja na kocha wa viungo Don Daniel De Castro raia wa Hispania.

24/05/2022

🚨 Klabu ya Yanga Sc ipo kwenye mazungumzo na wakala wa winga wa Klabu iyo Farid Musa ili kutaka kumuongezea mkataba mpya mchezaji uyo.

13/05/2022

🚨RASMI: Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuachana na kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison raia wa Ghana πŸ‡¬πŸ‡­

"Klabu ya Simba SC Imempa mapumziko ya hadi mwisho wa msimu mchezaji wake Bernard Morrison πŸ‡¬πŸ‡­

"Simba Imefikia maamuzi hayo baada ya pande zote mbili kukubaliana kwa lengo la kumpa nafasi Bernard Morrison πŸ‡¬πŸ‡­ kupumzika na kushughulikia mambo yake binafsi..."

"Simba SC Inamshukuru Bernard Morrison πŸ‡¬πŸ‡­ kwa mchango wake kwa kipindi chote alichohudumu ndani ya klabu yetu,

"Tunatambua na kuthamini mchango wa Morrison πŸ‡¬πŸ‡­ katika miaka miwili aliyoitumikia klabu yetu na kuisaidia kupata mafanikio kadhaa ikiwemo kucheza robo fainali ya michuano ya Afrika mara mbili, kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, Ubingwa wa Kombe la Azam Sports Federation na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi.

"Kwa mchango na mafanikio hayo klabu Inamshukuru mchezaji huyo kipenzi cha wana Simba kwa kujitoa kwake kupigania klabu yake.."

"Simba Inamtakia kila la kheri Bernard Morrison πŸ‡¬πŸ‡­ katika mapumziko yake na safari yake ya soka hapo baadae.."

πŸ” Imetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu; Barbara Gonzalez

13/05/2022

-Klabu ya DTB FC iliyopanda ligi kuu ya NBC imekamilisha usajili wa golikipa wa klabu ya Polisi Tanzania Metacha Mnata kwa mkataba wa miaka miwili. Metacha atajiunga na DTB mwisho wa msimu huu k**a mchezaji huru baada ya mkataba wake na Polisi Tanzania kuisha.

Source"Sport news"

12/05/2022

✍️Klabu ya Al Ahly ya Misri ipo tayari kumtoa kwa mkopo winga wao Luis Miquissone raia wa Msumbuji kwenda klabu yake ya zamani Simba SC katika dirisha kubwa la usajili hii imekuja baadhi ya viongozi na wachezaji wa zamani kupiga usajili wake kutokana na nyota huyo kushindwa kuingia kwenye kikosi moja kwa moja.

Source"'Yossima sitta jr"'

12/05/2022

✍️Beki na nahodha wa klabu ya Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto amekubali OFA ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kubaki Yanga kinachosubiliwa kwa sasa ni meneja wake kuja Tanzania ambaye yupo nje ya nchi.

Source"'Yossima sitta jr"'

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Culinary Team

Attire

Website

Address


Nyegezi
Mwanza
TST