RonaldinhoMessi

RonaldinhoMessi

Share

sportsan and michezo yote kwa ujumla

10/01/2024

SIMBA 🤣🤣🤣

Photos from RonaldinhoMessi's post 16/12/2023

NANI K**A BOCCO NGOMBE HAZEEKI MAINI

Photos from RonaldinhoMessi's post 15/12/2023

BOCCOOOO TUKIKUMISS SANA PAPAA


10/12/2023

ZA NDAANI..
Bocco BYE BYE...


09/12/2023

CHAMA LEO AKAE BENCHI DHIDI YA WAYDAD ...
Hiki ndo kiyawakuta MAKOLO ..


06/12/2023

KIEMBA: CHAMA HAWEZI KUKUPA KILA KITU CHA PACOME ILA PACOME ANAKUPA KILA KITU CHA CHAMA.

Hivi karibuni kumekuwa na mijadala kadhaa mitandaoni kuhusiana na Wachezaji Clatous Chama wa Simba SC na Pacome Zouzoua wa Yanga, wengi wanabishana na kutaka kujua nani bora zaidi ya mwenzake.

Mashabiki wengine wakienda mbali zaidi na hata kuniuliza, k**a mimi ningekuwa Kocha na niko nao wote kikosini nitaanza na mchezaji gani kati ya hao wawili.

Kwangu mimi binafsi huu ni mjadala wenye tija kwa ambao wameamua kujadili hili, mimi sioni k**a hawa ni wachezaji wa aina moja kuwalinganisha, nadhani unaweza kuwashindanisha Wachezaji kutokana na nafasi wanayocheza lakini hawafanani kwa maana ya utekelezaji wao wa majukumu.

Chama ni aina ya Wachezaji ambao kwenye soka la sasa hivi wanaanza kupotea kwa maana wale wachezaji ambao walikuwa wanacheza huru timu inapokuwa na mpira, hawa ni Wachezaji wanaoanza kupotea kwenye uchezaji wa sasa.

Wakati Pacome ni mchezaji wa kisasa ambaye anaweza kufanya majukumu yote mawili kwa wakati mmoja, anaweza kuchezesha timu na anaweza kukusaidia timu kuweza kupata matokeo na anaweza kukusaidia kujilinda k**a namba sita, Pacome anabadilika kutokana na eneo na vipindi.

Kipindi ambacho timu ina mpira Pacome anaweza kuwa namba 6, 8 na anaweza kuwa namba 10, wakati timu haina mpira Pacome anaweza kuwa namba 6 halisi akazuia k**a ambavyo namba 6 anafanya na pia anaweza kuwa namba 8 wa kisasa.

Ukitaka kuchagua nani zaidi itabidi uchague kipengele ambacho wote wanakifanya vizuri ambacho ni uimara wao, usichukue udhaifu wa mmoja na kulinganisha, kwangu mimi kila mmoja ana ubora wake kulingana na eneo lake ambalo yuko bora zaidi.

Pacome anaweza kumshinda Chama kwenye vitu vingi ndani ya kiwanja kimbinu kwa sababu anaendana na mchezo wa kisasa lakini Chama linapokuja suala la timu ina mpira na anatakiwa kufanya ubunifu, basi amekuwa akifanya kwa asilimia zaidi ya 80 isipokuwa kwenye kujilinda labda anatumia asilimia 20 kushuka chini, wakati Pacome anafanya kwa ubora ule ule, tukisema nani ni bora tutafute mchezaji ambaye wanaendana sifa na kuweza kupata mchezaji bora ila mimi naona wote wazuri.

05/12/2023

BADO HAMJASEMA..


30/11/2023

CAOTAIN FANTASTIC AMEACHWA KWENYE KIKOSI KITAKACHO CHUANA KIMATAIFA BOTSWANA NA JUANENG GALAXI ..
Je Tutatoboa bila BOCCO ???



23/11/2023

WABONGO HATUNA SHUKRANI QMMKE 😡😡😡


23/11/2023

MAKOLO HAMNA UBUNIFU HAPA

06/11/2023

KOCHA WA YANGA Kasema hakutarajia kushinda goli 5 japo aliamini Lazima Washinde


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mwanza