Taja Vilabu visivyo na mvuto Afrika
(A) Yanga sc (B)Simba sc (C) Al Ahaly. ( )
chagua jibu sahihi
Kapesah Sports Update
let's share our ideas together
Huyu chilambo anacheza namba ngapi uwanjani π π π π π π
01/09/2026
Kati ya Nathanael Chilambo na Yao kwasi je ni yupi anaitendea vyema namba yake vizuri zaidi , twende kwa comments chapu.
31/08/2026
Huyu libase atamaliza tuzo zetu aseeπ
π
π
π
31/08/2026
Kikosi cha mnyama Simba sc.
31/08/2026
Unapo kuwa na fedha basi kubari kupata vitu vizuri lakini k**a huna pesa basi utavitamani vitu vizuri , nakumbusha Simba sc mnashida na beki namba mbili japo wengi mnampa credit chilambo lakini kwa huyo bwana mdogo bado kufiti kwa kapombe mimi option yangu ningelitamani kumuona Yao Kwasi akicheza beki namba mbili pale Simba sc kutokana na ubora na uzoefu mkubwa alio nao hii lingekuwa dili kubwa sana kwa simba sc lakini kwa kuwa pesa iko benk basi Yao kwasi anahitajika na klabu ya mamelod, sasa hapa ndiyo naanza kuelewa kuwa vilabu vikubwa vyote vipo Afrika kusini , Misri, morocco , Algeria na ,Tunisia lakini kwa hapa Tanzania kuna ukubwa wa magazetini tu . power ya kushindana na hao mapapa hatuna , na hii ndiyo inasababisha tuanze kufikiria hatua ya robo fainali huku wenzetu wanawaza ubingwa wa Afrika.
WAZO KWA HOJA , HOJA KWA WAZO.
Kijana wenu wa mawata pleya ameanza kuzeekea benchi hukuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ila Doumbia kaaa sasa hii ndo mawhat tena yaani mpira uende wewe ubaki π
π
π
π
π
π
27/08/2026
Kijana wetu Nathanirl Chilambo amechaguliwa kuwa man of the match hongera Chilambo
# Kapesah Sports Update
Fvs imegoma no penatπ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Mwanza