Misri sports news

Misri sports news

Share

Special Education Teacher

28/05/2025

…Ryanair, Shirika la ndege la bei nafuu kutoka nchini Ireland 🇮🇪 linafikiria kuanzisha safari za ndege zisizokuwa na siti…

Lengo ni kuzidi kupunguza nauli, kwa kuwawezesha watu wenye uwezo mdogo kiuchumi, kusafiri…

Abiria wote mtalazimika kusimama, mwanzo hadi mwisho wa safari, k**a kwenye mwendokasi za Bongo, kwa bei nafuu sana…

Tanzania 🇹🇿 to France 🇫🇷, safari ya “masaa 9” angani, unaambiwa itakuwa ni Euro 10 tu, yaani shilingi elfu 30 za Tanzania 🇹🇿, k**a SGR ya Dar to Dom…

18/05/2025

Asante MUNGU

18/05/2025

Ni neema tu inayonifanya niishi leo. Thanks my LORD

02/11/2024

Former Sporting Lagos goalkeeper Agbor Ekoi has passed away reports OJB Sports. 🚨🇳🇬

The 27-year-old was involved in a road accident and died on the spot. 😭🕊️

May his soul RIP! 🙏🏽

28/09/2024

SEMAJI LA CAF

Photos from Misri sports news's post 08/09/2024

🚨⚠️𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘 ✅

Azam FC imemtangaza Rachid Taoussi raia wa Morocco (picha ya kwanza) kuwa kocha wake mkuu kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Taoussi amewahi kuvifundisha vilabu mbalimbali Afrika vikiwemo Raja CA, RS Berkane na FAR Rabat vya Morocco…. ES Setif na Olympique Khouribga vya Algeria pamoja na timu za taifa za vijana za Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Azam FC, kocha huyo amekuja na wasaidizi wake watatu, ambao ni kocha msaidizi, Ouajou Driss, kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.

Follow Frank Festo

03/06/2024

Simba SC are closing in on the signing of Elie Mpanzu (22) from AS Vita Club, confirmed. 🚨🇨🇩

Talks at an advanced stage now with only few details left for the move to be concluded.

Mpanzu will become the first player, Simba will sign ahead of next season.

He was on the scout’s list since last season.

A player who can operate on both sides. Ended the season in DR Congo with 11 goals. ✨


🦁

03/06/2024

Inaelezwa kuwa viongozi wa Simba SC wamegawanyika mitozamo kwenye maamuzi juu ya mshambuliaji wa klabu hiyo Fredy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast.

Wapo baadhi wanadaibkuwa nyota huyo asalie Msimbazi Kwa sababu anaonyesha mwanga anaweza kuwa tishio huko mbeleni.

Wakati upande mwingine wanadai kuwa nyota huyo aondoke Simba SC Kwa sababu klabu hiyo inahitaji washambuliaji Bora kuliko Kouablan.

30/05/2024

Mungu siku zote ni Mwema

11/06/2023

Karibu ujipatie huduma za laini za UWAKALA

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


B6, Nyamangana, Tanzania
Mwanza