11/05/2025
๐๐ฉ๐๐๐ญ๐๐ฌ
๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ข:
โฝ๏ธ ๐ก๐ฒ๐๐ฐ๐ฎ๐๐๐น๐ฒ ๐จ๐๐ฑ ๐ ๐๐ต๐ฒ๐น๐๐ฒ๐ฎ
๐ St. James' Park
๐ Premier League
โณ๏ธ Mechi ya 36
๐Saa 14:00 EAT
๐ท Referee: John Brooks
๐ฅ Canal+Sport, SkySport, Supersport, Bein Sport, 1xbet
๐ฅ๐๐๐ข๐๐
โฝTakwimu za Newcastle dhidi ya Chelsea ; timu hizi mbili za Uingereza zimekutana jumla mechi 176:
โซ Newcastle United ina ushindi wa mechi 57 dhidi ya The Blues.
โช Droo ya mechi 43
๐ต The Blues ina ushindi wa michezo 76 dhidi ya Newcastle United.
โ ๏ธ St. James Park (Newcastle), Goodson Park (Everton) na Villa Park (Aston Villa) unajikuta k**a upo jehanamu hivi๐ ubaya wa Chelsea leo anaweza kukupa furaha na kesho akupe huzuni... Hii Chelsea inaweza kukuchanganya mpaka Pepsi ukaiweka kwenye chupa ya Supa Commando๐ Hivi vitimu vya PARK PARK sio vitimu poa aiseeeeee. Kikubwa tuiombee klabu yetu ya utotoni CHELSEA... Kila hatua dua Mungu wetu sote ๐
Wadau tusisahau tusisahau kauli mbiu yetu msimu huu ni "USHINDI LAZIMA"
The Bluez
06/05/2024
๐๐๐จ๐๐จ๐ ๐๐๐๐
Kwa misimu yao ya kwanza walipo anza kuitumikia Chelsea Eden Hazard vs Cole Palmer takwimu zao ziko hivi;
Eden Hazard:
Mechi 62
Goli 13
Assist 22
Cole Palmer:
Mechi 43
Goli 25
Assist 13
Chelsea Daima D-1905
06/05/2024
REKODI
Chelsea timu ambayo imeweka rekodi ambayo haijafutika na timu nyingine yoyote.
Kuwa timu ya kwanza kwenye ligi ya EPL kucheza mechi 86 katika uwanja wa Stanford Bridge bila kupoteza hata moja na rekodi iliyowekwa mnamo 2004-2008, ikifuatiwa na Liverpool.
Chelsea Daima D-1905
06/05/2024
UPDATES
Mwanahabari David Ornstein anasema kandarasi ya Pochettino ya miaka miwili na chaguo la kuongeza mwaka mmoja iwapo atakamilisha mwaka mmoja mwishoni mwa msimu huu, bodi ya Chelsea itakaa na kuhakiki makubaliano yao. Kwani malengo ni kufuzu michuano ya Ulaya kuanzia Ligi ya Mabingwa Ulaya au UEFA Champions League na si Ligi ya Mikutano, hivyo bodi bado itakaa na kujadili iwapo malengo hayo hayatafikiwa.
Chelsea Daima D-1905
06/05/2024
REECE JAMES "KUHUSU THIAGO SILVA"
"Amekuwa muhimu kwa Chelsea na kwangu, kwa muda wake hapa, aliingia k**a mchezaji mzoefu na kuweka mfano mzuri kwenye chumba cha kubadilishia nguo kilichojaa wachezaji. Sote tumejifunza mengi kutoka kwake ndani na nje ya uwanja.
Chelsea Daima D-1905
06/05/2024
๐Heri ya miaka 22 ya kuzaliwa kwa Cole Palmer
Takwimu ndani ya Chelsea:
โฝGoli 24
๐
ฐ๏ธAssist 42
Chelsea Daima D-1905
06/05/2024
UPDATES
Heri ya miaka 30 ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Mchezaji wa kati wa Chelsea Mateo Kovaฤiฤ ila kwa sasa ni Mchezaji wa Man City.
Chelsea Daima D-1905
06/05/2024
CHUKUA HIHI
โ ๏ธUnadhani nani atamaliza ligi akiwa juu zaidi kati ya Chelsea na Manchester United !
Mpaka sasa;
CHELSEA:
Mechi 35
Pointi 54
Mabao 11,
Nafasi ya 7
MANCHESTER UNITED: Mechi 34,
Pointi 54,
Bao 1,
Nafasi ya 8
โฐ MECHI ZILIZOBAKI:
Chelsea Vs Nottingham
Brighton Vs Chelsea
Chelsea Vs Bournemouth
Crystal Palace Vs Man Utd
Man Utd Vs Arsenal
Man Utd Vs Newcastle
Brighton Vs Man Utd
Chelsea Daima D-1905
02/05/2024
CHUKUA HIHI
Acheampong... Ni mtu kazi, msimu ujao Chelsea itakuwa vizuri zaidi ๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐
Chelsea Daima D-1905
02/05/2024
๐จ๐ฃ๐๐๐ง๐๐ฆ
Nicolas Jackson anafunga bao lake la 11 msimu huu, moja zaidi ya Didier Drogba katika mwaka wake wa kwanza nchini Uingereza kwa Chelsea! โจ
Mabao 4 dhidi ya Tottenham msimu huu ๐ฅถ
Chelsea Daima D-1905
02/05/2024
Man of the match dhidi ya Tottenham Hotspur ni Trevoh Chalobah
02/05/2024
FULL TIME
Chelsea 2-0 Tottenham
โฝTrevoh Chalobah
๐
ฐConor Gallagher
Dakika 24'
โฝNicolas Jackson
Kumiliki mpira:
Chelsea 37%
Tottenham Hotspur 63%
Chelsea Daima 1905