Kumbe tunasoka safi, soka darasa na hamkusema hatujapenda
Alliance TZ
Timu iliyo ndani ya kituo cha michezo cha Alliance Sports Academy Mwanza-Tanzania
What a goal 😂
Soka safi, soka darasa
Kwani ni nini kimefanyika 😂
Iwe siku yenye kumbukizi njema kwa hisani ya Abdul Migomba (Nyau)
Wanakemoramba tuna jambo letu kesho jumapili
"Misingi ya kituo chetu ni kulea na kukuza vipaji"
Na nidham ndio muhimili mkuu katika kituo chetu
Karibu kwa kuwaleta vijana wetu Alliance Sports Academy kwa taaluma nzuri ya mpira kutoka kwa makocha wabobezi
Sarah Ezakiel miongoni mwa wanafunzi waliopita akizungumzia Alliance Day
MWANZA
Zoezi la siku tatu la kusaka wachezaji wapya wa k**e kupitia Alliance Sports Academy Girls Bonanza limefikia ukomo leo, Februari 23, 2025.
Mchezo wa mwisho wa bonanza hilo ulikuwa kati ya Alliance na Igoma Queens, ambapo Alliance wameibuka washindi kwa ushindi mnono wa mabao 10-0.
Timu ya Alliance iliyoshiriki mchezo wa leo iliundwa na wachezaji waliochaguliwa katika siku ya kwanza na ya pili ya bonanza hilo.
Afisa Habari Simon Kabwema akizungumzia majeruhi kwa upande wa timu timu ya Wasichana pamoja malengo ya kufanya Bonanza
Training Time
ALLIANCE DAY
Credit
ALLIANCE DAY
CREDIT
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Address
Mahina
Mwanza