Soon i'm loading.........
Wakati bado tukijiandaa kurejea ngoja ni kuache na mjadala huu.
hakuna asiyejua hali halisi ya janga la corona iliyowapata wenzetu wa italy je, ni fair kusubiri mda kuendeleza ligi yao? Ukizingatia mataifa matatu hadi sasa yamefuta mashindano yote ya msimu.
1.BELGIUM
2.NERTHERLAND
3.FRANCE.
Jibu kimwanasport..............
Soka tanzania
Habalika michezo na soka tanzania
16/05/2019
Bye bye Makambovic
Rasimi ametambulishwa leo na club ya horoya fc ya nchini guinea kwa kandarasi ya miaka mitatu.
14/05/2019
Yanga b, yanga u-20 imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya jkt tanzania ligi kuu ya vijana maarufu k**a (uhai cup).
14/05/2019
Kamsoko amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya zimbabwe yenye jumla ya nyota 34.
14/05/2019
Today,s squad of yangasc v ruvu shooting
Kick off 1600hrs
Uhuru stadium!
1. Nkinzi kindoki
2. Juma abdul
3. Haji mwinyi
4. Abdallah shaib
5. Kelvin yondan
6. Feisal salum
7. Paul godfrey
8. Raphael daud
9. Heritier makambo
10. Papy tshishimbi
11. Deus kaseke
SUBS
-Kabwili
-Jafary
-Makapu
-Haruna
-Thaban
-Ibrahim
-Amiss
Ligi kuu tanzania bara!
30/03/2019
Robo fainal ya mwisho imemalizika hapa kirumba na yanga wamefuzu kwenda hatua ya nusu fainal kwa changamoto ya mikwaju ya penaiti baada ya dakika 90 kutoshana nguvu ya bao 1 kwa 1, kelvin yondan na Mrisho ngassa walikosa penaiti zao huku paul godfrey, haruna moshi, thaban kamsoko na deus kaseke wakifunga penaiti zao. Pongezi ziende kwa aliyepangua penaiti mbili na kuisaidia timu yake kwenda hatua ya nusu fainal na watakutana na wanapaluhengo lipuli fc.
Yanga imeungana na azam, kmc na lipuli waliofudhu kwenda hatua hiyo.
30/03/2019
FA CUP ROBO FAINAL
FT Alliance 1-1 Young africa.
James joseph
Heritier makambo
Mikwaju ya penailty itaamua nani aende nusu fainal.
30/03/2019
FA CUP ROBO FAINAL
Kutoka kirumba Makambovic anaipeleka mapumziko yanga ikiwa mbele kwa bao moja alilofunga dakk ya 38'.
HUDSON CALLUM-ODOI
Chelsea wanajaribu kumshawishi kinda wao raia wa england hudson odoi kwa kumuwekea kitita cha pauni mil 100,000 kwa wiki ili asaini kandarasi mpya.
Nyota wa kimataifa wa tanzania saimon msuva jana aliisaidia timu yake kuepuka kipigo kutoka kwa casablanca baada ya kutanguliwa kufungwa na wageni wao na baadae kipindi cha pili mtanzania huyo kusawazisha.
OLE GUNNAR SOLSKJAER
Kule old trafford ni k**a linafanywa paty vile ni baada tu ya kutangazwa rasmi aliyekuwa kocha wao wa mda mnorway ole gunnar solskjaer sasa mashabiki wa timu hiyo wamevimba wakidai utawala wao wa soka uliopotea umerudi na kwamba hasimu wao mkubwa pep ajiandae na mazingira ya kufurumshwa kule ettihad.
HUENDA IKAWA HABARI NJEMA KWA WANA YANGA
Nguvu ya wananchi imetia guu kunako migodi ya mwadui, inataka nini? Ni kuhusu top score wa tpl aliyeko kwa wachimba madini hao salim aiyee kwenda kukipiga jangwani.
Wao wanasemaje?
Aiyee ana mkataba na mwadui na kwakuwa bado ni kijana uongozi hautomruhusu aondoke ili kulinda kipaji chake.
Mwenyewe anasemaje?
Mpira ni hatua inapotokea umepiga hatua usijirudishe kwa makusudi huenda safari yako ya mafanikio ikawa inaanzia pale.
Wananchi wanasemaje?
Dogo analijua lango anahaha uwanja mzima yaani asipofunga moyo hauridhiki.
Aonywa kwa mifano ya wenzie!
Waangalie ditram nchimbi, adam salamba, mohamed rashid, boniventure kaheza, waziri junior walio kimbilia kufuata majina kwenye vilabu vikubwa.
Jamaa hayuko nyuma
Hata kwenye vilabu vidogo usipopambana utabaki kwenye orodha ya waliosajiriwa tu!
MWISHO WAKE UTAFIKA TU.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Address
Mwanza