Report Bleacher Tz

Report Bleacher Tz

Share

Sports news updates Sport One

06/04/2022
15/02/2022

" Tarehe 16 ni mechi ya kurifresh kidogo kwa ajili ya kurejesha mwili sawa wakati huo tukijiandaa na mechi inayaofuata dhidi ya Gendermerie huko ndiko Simba tunaonjoy kucheza."

Ahmed Ally- Meneja Habari na Mawasiliano Simba.

15/02/2022

CHALLENGE 👊

- Kipimo cha macho 👀

- Unaweza kuonesha tofauti NNE(4) zilizopo kwenye hii picha? 🧐

15/02/2022

RATIBA YA MICHEZO YA LEO💥⚽🗣️

TANZANIA - ASFC
16:00 Tanzania Prisons Vs Polisi Tanzania
19:00 Yanga SC Vs Biashara United

ENGLAND: Premier League
23:15 Manchester Utd Vs Brighton

EUROPE: Champions League - Play Offs
23:00 Paris SG Vs Real Madrid
23:00 Sporting Vs Manchester City

DR CONGO: Ligue 1
16:00 US Panda Vs Dauphins Noirs
16:30 AC Rangers Vs Sanga Balende

EGYPT: Premier League
16:00 Ghazl El Mahallah Vs Arab Contractors
18:30 Smouha Vs Zamalek

ENGLAND: Championship
22:45 Cardiff Vs Coventry
22:45 Millwall Vs QPR
22:45 Sheffield Utd Vs Hull

MOROCCO: Botola Pro
18:00 Olympique Khouribga Vs Raja Casablanca vs
20:15 Wydad Casablanca Vs Rapide Oued Zem

SOUTH AFRICA: Premier League
18:30 Royal AM Vs Sekhukhune
20:30 Cape Town City Vs Kaizer Chiefs
20:30 Maritzburg Utd Vs Supersport Utd

TURKEY: 1. Lig
17:00 Genclerbirligi Vs Samsunspor
20:00 Bursaspor Vs Tuzlaspor

UGANDA: Premier League
16:00 Bright Stars vs Police
16:00 Wakiso Giants Vs URA SC.

12/02/2022

Tutaonana baadae ALLY💔.

Wachezaji wa klabu ya Ruvu Shooting wakiwa nyumbani kwao marehemu Ally Sonso kuhudhuria mazishi ya mchezaji mwenzao.

😔Ally wachezaji wenzako wapo kwenu leo wanakulilia,
Walizoea kuona ucheshi wako wakati wote lakini leo hawaamini k**a haupo nao tena.

Nenda Ally tutaonana baadae💔

02/02/2022

💥 𝗔 𝗛 𝗠 𝗘 𝗗 - 𝗔 𝗟 𝗟 𝗬

“Hawa ni Al Ahly wanaelekea Falme za Kiarabu kushiriki fainali za Kombe la dunia ngazi ya klabu (FIFA CLUB WORLD CUP)”

“Haya ndo maisha sisi tunayataka”

“Tunawaza siku moja kushiriki mashindano hayo 🏆”

“Tuna Invest kwa ajili ya mafaniko yajayo, hatuja invest kwenye HISTORIA ya zama za kale za mawe”

“FIFA CLUB WORLD CUP wanashiriki Mabingwa wa Africa wa mwaka husika sio Mabingwa wa kihistoria”

“Nafahamu kufikia mafaniko hayo haitakuwa rahisi lakini Insh Allah siku moja tutayaishi yale tunayoyakusudia”

“Hii ndio ndoto ya Mwekezaji wetu na Rais wa Heshima ”

“Ukitazama maono ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba unaona siku moja hili litatimia”

“Ukiona mtu anangan'gania kujivunia HISTORIA jua amefika mwisho hana malengo tena, sasa imemlazimu akumbuke alichofanya miaka nyuma...”

“Siku moja Isha Allah 💪💪💪”

- Ameandika Meneja wa Mawasiliano wa Simba SC ‘Ahmed Ally’

28/01/2022

“Nimejaribu kupiga story na Kiongozi mmoja ndani ya bench la Simba kuhusiana na hukumu ya Mwalimu Pablo, binafsi ilinifikirisha sana matukio ya kujirudia kwa mechi tatu”

“Kiongozi akaniambia wanakubali kuwa kwenye mechi ya Mbeya City pale Sokoine ni kweli hakuongea na Manungu dhidi ya Mtibwa pia hakuongea baada ya mechi”

“Ila mechi ya Kagera Sugar dhidi ya Simba baada ya mechi wakati wanahitaji Kocha azungumze, Simba wakawaambia atazungumza Kocha Mkuu Pablo kwakuwa ataelezea vyema na sio Kocha Msaidizi”

“Baadae Wahusika waliwaambia kuna shida ya lugha Hivyo wanaomba Matola aongee ila Kiongozi aliendelea kuwasisitiza kuwa kutokana na matokeo anaepaswa kuongea ni Head Coach kwakuwa ndie Mtu sahihi zaidi”

“Hivyo anadai Kocha Mkuu hakukataa kuongea baada ya mechi ya Kagera bali Wahusika walishindwana na Kiongozi Kuhusu nani aongee ikisemekana tatizo ni lugha”

“📌Hayo ni majibu ya Kiongozi baada ya Mimi kuhitaji kufahamu inawezekana vipi Simba wakaruhusu makosa ya 'rejareja' k**a haya”

“🚨KAMA TATIZO NI LUGHA, JE NI KOSA LA NANI?”

- Ameandika Jr

25/01/2022

“Tunaenda kukutana na timu nzuri, katika siku saba zilizopita kwa mara ya kwanza kesho nategemea kucheza mchezo wa kweli, kwenye uwanja ambao tunaweza kucheza.“

- Pablo Franco Martin, Kocha wa Simba SC

24/01/2022

- Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) halijamgungulia kesi Polisi Kipngozi yeyote wa Mpira wa miguu.

- Masuala yote yanayohusu viongozi wa mpira wa miguu yamekuwa yakipelekwa kwenye vyombo vinavyohusika na mpira.

- Taarifa inayosambazwa kuonesha TFF imefanya hivyo ni za upotoshaji wenye nia ovu.

- Tunawataka wote wanaoendesha propaganda hizo kuacha mara moja, TFF haitasita kuchukua hatua stahiki kwa wote wanaoendelea kisambaza.

👉 Taarifa kutoka TFF....🙌

22/01/2022

NBC PREMIER LEAGUE 🇹🇿

FullTime || Tz Prisons 0-4 Azam FC

22/01/2022

NBC PREMIER LEAGUE 🇹🇿

HalfTime || Tz Prisons 0-1 Azam FC

27’ ⏰ | Tepsi Evans ⚽

21/01/2022

Yupo Cameroon kwa sasa lakini analingana Clean Sheets na magolikipa waliopo Tanzania.

Yanga Sc ndio inaongoza kwa clean sheets wakiwa nazo 8 katika michezo 12 ambayo wamecheza mpaka sasa.

Diarra ana cleen sheets 6 na Mshery ana clean sheets 2 mpaka sasa Hii kitaalamu tunaitaje ndugu wachambuzi ??

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Kisesa
Mwanza
BUJORA