Tanzania yetu leo,,

Tanzania yetu leo,,

Share

Habari/Move/Michezo/Music/Historia/Record/Nukuu/Vichekesho/Mapenzi&Mahusiano/Udaku/Na mengine mengi

Photos 16/08/2016

Ni miaka #80 sasa imepita tangu vilabu hivi vimeanzishwa lakini naona ni vilabu ambavyo havina maendeleo kivile vimekuwa ni vilabu vya kushinda na kusajili wachezaji wenye gharama vimekuwa ni vilabu vya kupigana majungu tu hii yote ni sababu ya klabu kuongozwa na nguvu ya wanachama na sio kimilikiwa na mtu binfsi mzuri angalia timu k**a ni klabu ambayo haina muda mrefu sana k**a zilivyo & lakini ni timu yenye mafanikio kwa muda mfupi ni kwasababu ina milikiwa na hapo ndio nagundua klabu inayo ongozwa kwa nguvu ya wanachama na klabu inayoongozwa na kampuni au mtu binafsi kunautofauti mkubwa sana ina nisikitisha sana kuona hivi vilabu vikubwa hapa vina miaka zaidi ya #70 lakini havina hata uwanja timu k**a Azam ina uwanja wake>>> Kwa ushauri wangu na mtazamo wangu mimi nilikuwa nafikilia vilabu vyote vya Tanzania viache ushirika na wanachama na badala yake watu wenye makampuni wavi nunue hivi vilabu na waviendeshe wenyewe binafsi,,, #

Photos 15/08/2016

Tuipende yetu vitu vinavyopatika katika kila nchi kwa wingi

Photos 15/08/2016

Nakupenda kwa moyo wangu wote nchi yangu na muomba atujalie Amani Upendo Furaha atuepushe na wanaotaka kuivunja amani yetu LOVE YOU TANZANIA,,,

15/08/2016

Siku njema my frend zngu wote na awabariki,

13/08/2016

Ligi kuu England imeanza leo kwa mchezo wa mapema kati ya Hull city vs Leicester city na mabingwa hao kukubali kipigo cha goli 2-1 Leicester city walikuwa wa kwanza kupata goli mnamo dakika ya 47 kupitia kwa Mahrez kwa mkwaju wa penalt na dakika ya 45+1 Hull city wali sawazisha kupitia Domande dakika ya 57 walihitimisha karamu ya magoli kwa kufunga goli la ushindi kupitia kwa Snodgrass, "Huu ni mwanzo mbaya kwa mabingwa hao wanao tetea kikombe chao,,,

01/08/2016

Jumatatu njema

31/07/2016

Mchana mwema wadau

20/07/2016

Mambo niaje wadau,,

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Mwanza