Emmsport tv

Emmsport tv

Share

Sports news & events world wide.

03/03/2026

Lionel Messi ndiye ana magoli mengi zaidi kwenye soka bila kuhesabu penalti toka mwezi march 2026

Ana magoli 3 zaidi ya Cristiano Ronaldo, licha ya kucheza mechi 173 chache.

Lionel Messi ndiye bora kabisa kuwahi kutoka katika soka.

unafikiri nani atakaribia au kuvuja rekodi hiyo kwa hivi vizazi vinavyokuja?

usisahau kufollow Emmsport tv
for more updates.

26/02/2026

KUMBUKIZI;

LEO TRH 26/2 k**a ya leo mwaka 1999, kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson alik**atwa na polisi akiwa anaendesha BMW yake kwenye barabara ya pembeni ya watumia miguu karibu na Manchester.

Kosa dogo, lakini kisicho cha kawaida alifikishwa mahak**ani Oktoba na Sir Alex akatoa hoja yake kwamba alikuwa akiwahi chooni kwa sababu alikuwa anaharisha. Mwisho aliondolewa mashtaka na kuachiwa.

18/02/2026

cup

wanamasumbwi wamepokea knockout round ya pili

FT.

28/10/2024

đŸ˜†

17/11/2023

JE WAJUA!!!!
Timu ya Taifa ya Uruguay inakuwa timu ya kwanza chini ya kocha wao MARCELO BIELSA (68) kuifunga timu ya Taifa ya Argentina, baada ya timu ya Argentina kutopoteza michezo ishirini na tano (25) mfululizo.
Argentina wamepoteza kwa kufungwa magoli 2-0 wakati wa mechi ya kufuzu kwa kombe la Dunia Jana November 16
Vile vile ndio Mara ya kwanza toka mwezi wa kumi na moja(11) mwaka Jana 2022 kwa Nguli wa mpira wa miguu Lionel Messi kutokufunga Goli.

16/11/2023

BREAKING NEWS!!!!!
Rasmi sasa kiungo mchezaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ufaransa Eduardo Celmi Camavinga, ataukosa msimu mzima wa 2023 uliobaki kutokana na kuumia kwa goti pindi alipokuwa mazoezini na timu yake ya Taifa,,

15/07/2022

Christian eriksen rasmi amejiunga na klabu ya Manchester united kwa kandarasi ya miaka 3, mpaka mwezi wa 6, 2025.

Kiungo huyo mdenimaki alikuwa akichezea timu ya Brentford

14/07/2022

"Familia yangu ilikuwa masikini sana, binafsi sikuweza hata kujinunulia viatu vya kuchezea mpira. Mama yangu alikuwa akiwafulia watu nguo ili tu familia ipate chakula.Binafsi ninavyoona watoto wadogo wakihangaika, naona sinabudi ya kuwasaidia kwani inanikumbusha zamani yangu Mimi". Maneno ya Sadio mane.

Kwa sasa ni mchezaji wa club ya ujerumani Bayern Munich.

Na mchezaji wa afrika wa pili kulipwa pesa nyingi.

14/07/2022

NONDO; Wachezaji top 7 wanaongoza kuwa na magoli + assists nyingi ndani ya misimu mitatu ya ligi kuu ya uingereza (EPL) iliyopita.

(1) Mohammed salah (92)
(2) Harry Kane (83)
(3) Son heung-Min (78)
(4) Kevin de bruyne (74)
(5) Jemie vardy (69)
(6) Bruno fernandes(61)
(7) Sadio Mane (61)

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam
Mwanza